



Bora umesema kakaTatizo siyo la kipa, narudia tena kusema kwamba tatizo ni la timu.
Timu inayogombea makombe kipa wake namba 2 hawezi kuwa kipa aliyeachwa na Westham.
Mane angekuwepo tungejitahidi ht tufungwe 5
Ukiskia Jogoo kafa kwa utitiri ndio huku.
Nacheka lakini naogopaa!!



watu mna maneno humuSisi kama mbao fc tunaomba pambano
Ikiongozwa na Gomez ..Highline defense sucks.
Ikiongozwa na Gomez ..
Team nayo iache ubahili mambo ya kypenda vya dezo tutaaibika
Siku hizi nimepunguza kuwacheka wengine wakifungwa, maana huu msimu naona tutafungwa sana.
Siwezi kumlaumu sana kipa matokeo ya leo, kumbuka kafungwa magoli kama matatu ambayo ni deflection za van dijk, gomez, fabinho.Mkuu kama umeangalia mpira liverpool hajazidiwa hata kidogo muda wote liverpool ndio wenye mpira,ball possession Liverpool 69 kwa 31.
Tatizo lilikuwa kwa goli kipa maana kila shuti wakilenga goli ni goli.
Ndio maana jamaa anasema hivyo yaani unafungwa halafu mpira unacheza wewe.
Kuna mechi unafungwa halafu unazidiwa lakini hiyo mechi imekuwa tofauti kumefungwa lakini muda mwingi mpira wanamiliki liverpool,ndio maana mashabiki wa liverpool walikuwa wanaamini watarudisha maana liverpool wanafika goli kwa Aston villa vizuri tu.
Sometime inabidi ufungue pochi tupate wachezaji kweli.Walisifia sna usijili bei chee umefanya makubwa sasa tena mkuu daaa
Sometime inabidi ufungue pochi tupate wachezaji kweli.
Matajiri wetu wabahili sasa wanategemea wachezaji wa bure bure
Mie najaribu kupotezea habari za mpira siku hizi manake team yangu naona ni mbovu kuliko msimu uliopita
Sitaki kuumia kizembe