Aston Villa japo tumemuuza Samata ila tuna jambo letu leo..
Sisi kama Aston Villa kuna jitu leo tunalikalisha.
#AVnguvumoja![]()

Magoli yanarudi haya
Ongezea hapo na Keita boy has become so useless...Kweli ni Backup lakini huyu kipa hafai hata Gwambina.
Na akikutana na Gomez ndiyo kabisa maangamizi.
TuliaLeo 10 hizi
Yaani hawa leo wanapigwa 7Mna bahati goli la 5 VAR imekataa