Hii game tunashinda
Unashabikia timu gani maana nakuonaga kotekoteNaiona hapa imeshaanza.
Liver kama Liverpool tumeshachunguliwa 😅
Huyo ndio tatizo sijui kwanini tunamng’ang’ania.
Kote wapi na wapi?Unashabikia timu gani maana nakuonaga kotekote
Kwa kweli hii ndio EPL yaani timu kutoka kupambana kushuka daraja na kuja kukomaa hivi lol raha ya mpira ndio hii EPL ukikaa vimbaya wapinzani wanapita mazima... Wekedi hii matokeo hayakutarajiwa kamwe kua hivi..Adrian na Joe Gomez ni majanga. Second half Fab acheze na VVD and Henderson will come in
Kama mwacheza na mbao munaweza kurejesha na kuongezaTunashinda mkuu,tuwemakini tu Kwenye kufunga maana beki zao hazipo vizuri
Eeeeh huko ndio kote koteKote wapi na wapi?
Only Chelsea and Liverpool.
Kama ccm wanavo ngangania madarakaHuyo ndio tatizo sijui kwanini tunamng’ang’ania.
DullyJr naona kiingereza kimeanza hapa.
Nyinyi siyo sita muna kula 8tutalaumu kipa bure....... hii timu siku wakiamua kukuangusha wanakuangusha kweli kweli!
ngoja nilale tu, hapa tutakula 6 kama pundamilia tukikaa vibaya
acheni kumlaumu Adrian, how about the mido?......... Villa wanateleza like a hot knife slicing a cake!We should sign GK, huyu Adrian hafai kuwa backup





Ukiona hivo ujue lisu anachukua nchiDqh wakuu Leo mbona kama miujiza?