Duh hadi wewe Bill 😆😆😆
Huyu Kipa ni wa kupiga Risasi
Weekend muruaaaaa kabisa 😂Asanteeeeeeeeeeeeeeeee
Baaasiiiii
Zinapigwa zina deflect atafanyeje sasa.Huyu Kipa ni wa kupiga Risasi
Hii game tunashinda hata sina wasiwasi
Huyu Kipa ni wa kupiga Risasi
[emoji3][emoji3][emoji3] mtanisamehe majogoo ni maumivu makali niliotoka kubatizwa kwa Moto napunguzia hasira hukuDuh hadi wewe Bill [emoji38][emoji38][emoji38]