Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Benchi la Ufundi la Liverpool huwa wanapita hapa JF na kuona tunachokijadili.
Wewe level yako ipi? Ungetafuta ligi yako sasaArsenane msijigambe Sisi cyo level zenu mkae mkilijua Hilo
Burnley are in talks to sign Harry Wilson on a permanent deal
.hakuna level ze2 maybe unitafutie Wewe ligi Mana hakuna mwenye kuniweza hapa EnglandWewe level yako ipi? Ungetafuta ligi yako sasa
Wajina tu betTulia wewe,

Ha ha haaaa kuna mtu kajibiwa humu.Benchi la Ufundi la Liverpool huwa wanapita hapa JF na kuona tunachokijadili.
Mapenzi hudumaza akiliWewe siyo shabiki wa liverpool ni mamluki sijui umetokea wapi tu? Kwahiyo ulitaka acheze upuuzi halafu aachwe tu aendelee kuvuta wenzake mabega?
Hajakataa kadi ila anavhosema ni usisifie kiwango cha timu uku umecheza ukiwa unajua kabisa una advantage kubwaKwenye Mpira hakuna Kitu 'Ingekuwa'.
Kashabikie Rede huko.
Shakir ni player mzuri sana, kaonesha faida sana mechi anazocheza, ila tatizo lake kubwa ni kuwa sub ya Salah,Huyu lazima atue Anfield, Hapo Origi na Shaqir wana uwezekano mkubwa wa kuondoka kabla ya October 5. Backup ya front 3 inakuwa Jota, Sarr na Minamino.
Mtu akishajiita Watery huyo ni wa kupuuza tu...Huyu anayejiita Watery ni wazi kuwa Kuchwa chake kimejaa Water/Maji badala ya Akili.
Cha ajabu mpaka leo ukimuuliza ni mshabiki wa Timu gani hasemi anajifanya yeye Si Washabiki wa Mpira na hana Timu.
Lakini haondoki Vibanda Umiza kufatilia Games za Liverpool na kuleta uchambuzi wa Vituko.
Natuma salamu nikiwa KING POWER STADIUM usiku huu ziwafikie Majogoo sijui Tetea mtajua wenyewe..... Nitakachowafanya Jumatatu Mpaka Queen Elizabeth au Waziri wa Uingereza Boris Johnson aingilie kati.....
#COYG
#COYG

Download application | J FOOTBALL & MOVIE TVSNiliwahi ona andiko lake akisema anapendelea Liverpool iwe bingwa.Huyu anayejiita Watery ni wazi kuwa Kichwa chake kimejaa Water/Maji badala ya Akili.
Cha ajabu mpaka leo ukimuuliza ni mshabiki wa Timu gani hasemi anajifanya yeye Si Mshabiki wa Mpira na hana Timu.
Lakini haondoki Vibanda Umiza kufatilia Games za Liverpool na kuleta uchambuzi wa Vituko.
Ujamwona Kipepe nini😂😂😂😂Kudadeki, dunia haipo fair, Thiago Alcantala watatu na pesa juu sawa na Kepa mmoja![]()