inner brain
Senior Member
- May 25, 2020
- 182
- 478
Masikini LivaKuku Amekubali kuelekea Kibra😂..Nashangaa Wale Washika Manati sijui walifeli Wap
Labda mshinde na njaa[emoji849][emoji849]Hii game tunashinda hata sina wasiwasi
Nimerudi kutafuta hii commentHebu acheni kutuiga basi
Yaaaani sisi tufungwe 4-1 HT na nyie mtugeze mfungwe 4-1 HT???
Jifunzeni ubunifu tafadhali
Asa ole wenu mfungwe sita kama sisi!!