Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ollachuga Oc , Pain killer na Mashabiki wengine wa timu zilizoishiwa pumzi kama Chelsea,United na Arsenal nawaomba sana muwe na adabu.

Mnapokuja hapa jukwaani, muonyeshe heshima maana hili ni jukwaa la Club Bingwa barani ulaya. Hivyo basi mnapoitaja liverpool muanze kwa kusema CLUB BINGWA BARANI ULAYA LIVERPOOL wamefanya ......

Nadhani kuanzia sasa huu utaratibu uanze kutumika si kwa wale wageni toka majukwaa mengine hata sisi wa jukwaa hili. Hii ni klabu kubwa na ina heshima zake

YNWA
Sasa hii Liverpool ya kuunga unga niite club bingwa??? Acha utani bwana!!
 
Huyo man city kashindwa nini mzee huko ucl? Chelsea unayoijua wewe imechukua mara moja tu, epl wamebeba mara ngapi?
Achana na Chelsea kabisa.

Mambo tunayofanya kwa sasa ni hatari kwa afya ya Liverpool na timu nyingine za kuunga unga kama arsenal, man u..

Sisi huwa tunafanya 'Impossible' kuwa 'Possible'

Ninyi asipokuwa salah na mane basi hauna timu apo.

Kila la kheri Chelsea
 
Kuna wanaosema UCL ni ligi rahisi ndiyomana Liverpool anabeba, Lakini EPL ni Ligi ngumu ndiyomana Liverpool haibebi.

SWALI:

Sasa kama UCL ni ligi nyepesi kwanini wengine wasichuke? Au hawa kina Man City na wengine hawalitaki hili kombe?

Kwanini tusikubali tu kuwa Makombe yote (EPL & CL) ni magumu?
Ninyi munapangiwa wakina Genk kwa nin musifike mbali?? Pangwa na wanaume wakina Ajax, Chelsea..

Halafu UCL ni game of chance..

Subiri uone msimu huu sisi tutafanya nini..

Kila la kheri Chelsea
 
Chelsea na Arsenal miaka yao yooote duniani kwa pamoja wamechukua UCL 1 (ya chelsea hiyo), na hapo tunaambiwa UCL ni rahisi mno.
Niambie ugumu uliopo kwenye UEFA.

Niambie ugumu uliopo kwenye EPL.

FA inaweza kuwa ngumu kuliko UEFA
 
Porojo
Ohh Klopp hawezi shinda final
Kashinda mbili
Sasa wavimba macho mnakimbilia kwenye VAR
Tumepiga Mungu mtu wenu wa soka 3
Hadi January gap itakua points 15+
Klopp hafanyi kosa mara mbili

Msimi uliopita kuna Watu walilalamika sana kuwa Liverpool inabebwa kwahiyo Wakafurahia ujio wa VAR na kuna mshabiki wa Chelsea ambae Post yake nimeshindwa kuiona alisema Msimu uliopita kungelikuwa na VAR Liverpool isingeingia Top Four. Lakini cha ajabu VAR imekuja sasahivi wanailalamikia tena. Sasa sijui wanatakaje?

Where is VAR?. Msimu huu mmekula point 15 kwa wizi huu.....figisu nying tuuView attachment 1063599

Naona keita anafunga goli lake la kwanza akiwa na liverpool. Msimu ujao VAR ipo kazin


Liver mwaka huu magoli yanayotokana na offsides ni mengi mno. Salah alikuwa offside wakati anapiga cross.
Msimu ujao VAR kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hao pamoja na Washabiki wa Chelsea walifurahia sana ujio wa VAR wakiamini kuwa inakuja kumkomoa Liverpool! Hatimae kibao kimegeuka kwa.
 
Sijawahi kusema kubeba EPL ni rahisi

Post yangu ya mwanzo nilisema yote [EPL & CL) ni Magumu

Hakuna urahisi wowote kubeba CL bali katika kubeba CL kuna ugumu zaidi kuliko EPL

Tuangalie Majority:

1) Blackburn amebeba EPL
2) Leicester City amebeba EPL
3) Arsenal amebeba EPL
4) Manchester City amebeba EPL
5) Chelsea amebeba EPL
6) Manchester United amebeba EPL
7) Liverpool hajabeba EPL

Sasa kwenye Timu 7 hapo kakosa 1 tu ya Liverpool kubeba EPL

1) Liverpool kabeba CL
2) Manchester United kabeba CL
3) Chelsea kabeba CL

Sasa kwenye Timu 7 hapo ni 3 tu ndiyo zimebeba CL

Sasa uhalisia unasemaje kuhusu namba hapo kipi ni shida kubeba kuliko chengine?

Au unataka kuniambia ni Liverpool pekee kukosa EPL ndiyo definition ya 'Ugumu Kubeba'? Serious?

√ Kama wamepata Wengi (EPL) akakosa mmoja (Liverpool) hapo pana wepesi kubeba.

√ Kama wamepata Wachache (CL) wakakosa wengi hapo jua pana ugumu kubeba.

Narudia tena Liverpool hatafsiri ugumu wa EPL wakatai wengi Wamebeba! Bali ni Majority katika kubeba na kuto kubeba ndiyo kunatafsiri Ugumu au Urahisi wa EPL na CL
Aahgh hizi ni pumba tu
 
Ndiyo maana yake.

Hii ni post yake 2014 akiwa mshabiki wa Arsenal.



Na hii chini ni thread yake akiwa mshabiki wa Leicester City.


Na hii hapa ni post yake August 2015 akiwa mshabiki wa Chelsea.



NB: Nahisi jamaa anahama kutegemea na boyfriend aliyenaye kipindi hiko anashabikia timu gani. Akiachwa akapata mwingine anahama timu.
Ili litakuwa ni li jamaa Sema linatafuta attention tu.
 
IMG_6632.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom