Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,555
Genk ni nzuri na timu Bora kuliko uliwasema,hao unawataja wapo kwenye ligi Bora na inayotizamwa zaidi ila sio kwamba wao ni bora.. .unaweza kuzaliwa dsm lkn usiwe na uwezo kama mtu wa kigoma ila jina la mwanadas es salaam likakubeba
Tetea hoja yako,kwa unavyoona Genk na Leicester ipi ni timu ngumu????ukimkurupusha JKLOPP saa hizi achague kati ya kukutana na Genk ambao ni mabingwa wa Ligi au Leicester au Wolvers unafikiri atachagua ipi?
