wapuuzi hawa washachana Liverpool haniangushagi kwenye kona ila leo 1st half kapiga kona moja tu ngoja niende liveYah ni wao.....naona kona zipo 4 total





. Msimu huu mmekula point 15 kwa wizi huu.....figisu nying tuu
Kila la kheri...katembea na hela yangu....liverpool akiwa home namwaminig sanawapuuzi hawa washachana Liverpool haniangushagi kwenye kona ila leo 1st half kapiga kona moja tu ngoja niende live
Soton wameanza vizuri, sema kikosi chetu kimekaa kiushindi sana leo.
i think Shaqiri will do us good today if he gets a chance.. (naamini hivyo)
milner for wij, hendo for anod
Kama kaumia hiv lakin anavyotoka ni kamavile hajaumia....ila ni slightly injuryKwa nini TAA katolewa?
Kwani vipi Chief..?Unataka nini kwani? Basi 1-0