Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

3-1 za kubebwa na var

Liverpool mna laana tu, mnatembelea var kupata ushindi ,hamuwez kuwin title kizembe hivo, saizi mnavimba tu na vi match 12 out of 34 ,tulishawazoea sana kuongoza league

Gori la salah offside var ikazima

Gori la kwanza, handball ila var ikazimwa

Harafu mnavimba
Porojo
Ohh Klopp hawezi shinda final
Kashinda mbili
Sasa wavimba macho mnakimbilia kwenye VAR
Tumepiga Mungu mtu wenu wa soka 3
Hadi January gap itakua points 15+
Klopp hafanyi kosa mara mbili
 
Wananijua Sana tu... Sihitaji msamaha

Post ya juu was a respective counter kwa mhusika

Second one same... The photo was useless, it has nothing to discuss... Quite a waste

Ukitaka tujadili soka, tunaweza tu

Nikupe kazi kidogo.... Pitia post zangu 12 tu kwenye hili jukwaa la LFC halafu uziquote zote.... Zitakupa good Sunday

Ujue raha ya ushabiki Ni Hadi kuona very senior admins wanatoa povu kwa namna LFC inavyopeta

Wamefikia waqti wamevua neutrality na kuanza kujibu banters za wanaLFC

KWELI TUMETOKA MBALI
If it was nothing to discuss why did u qouted with those offensive words? Mjuba dont u see ur revealing urself who u're?

Unaumia nini kamw haijakugusa. Narudia tena dont take it personal.
 
I wish ningeumia

Vipi umeshamaliza quoting?

Mtulieeee.... Majukwaa yenu Yana sonona sasa mnalazimisha silly attention humu
 
Porojo
Ohh Klopp hawezi shinda final
Kashinda mbili
Sasa wavimba macho mnakimbilia kwenye VAR
Tumepiga Mungu mtu wenu wa soka 3
Hadi January gap itakua points 15+
Klopp hafanyi kosa mara mbili
And var has proved with stats that we haven't gained anything from it.... With or without it, we would have 34 points

Anyways... Wakitulia tutajadili soka

Klopp flipped his flanks against citeh for Only five minutes and you could see KDB and Silva struggling to follow their coach instructions
 
Ndiyo maana yake.

Hii ni post yake 2014 akiwa mshabiki wa Arsenal.

Na hii chini ni thread yake akiwa mshabiki wa Leicester City.

Na hii hapa ni post yake August 2015 akiwa mshabiki wa Chelsea.

NB: Nahisi jamaa anahama kutegemea na boyfriend aliyenaye kipindi hiko anashabikia timu gani. Akiachwa akapata mwingine anahama timu.
Duh hatari sana😀😀
 
the problem of liverpool fans is that,... you like hearing good things in your ears,you don't accept any challenge at all,

if someone challenges you then you will come up with a personal attack and this disease exists on all platforms except THE FOXES maana nimeyashuhudia kule Ase8,nyumbu na cheltako ....

MUBADILIKE AISEEEH
Huyu ni me wakuu sio ke(joke)
 
hili jukwaa linazidi kujaa watu kutoka kila kona kama chelwowo nyumbu mancity arsenane na kunakituko cha fox kimeingia eti(maisha yapo kasi kweli) ok me nafurahi binafsi maana kama mtu kwenye pitch kashindwa kupambana means maneno ndo kitu kilichobaki kwake na kauli za kinyonge. Nadhani ni muda wa washabiki wa LFC katika huu uzi kujivunia kwani wapinzani wakiwa wengi sana jua kua unawatesa,unawasulubu,unawaumiza .
Tujiulize mbona kipind tuko na kina CAROLL, SHELVER, BELLAM na wengineo tulikua hatusumbuliwi kias hiki lkn hiki kipind tuko na kina FAB, MANE, SALAH, BOBBY watu wanaumia tu bila sababu???? Hahaha bila kupapasapapasa utagundua kwel LIVERPOOL imekuja kufanya mapinduzi europian , na hiki ndo kinachowakosesha watu furaha yaan hawataki kuamin ile LIVERPOOL imerudi , na hik ndo kinawafanya watu washinde wanakejeli kwenye hii thread mitandaoni .
 
Huyu ni me wakuu sio ke(joke)
Mnashindwa kwenye arguements mnakimbilia katika ubaguzi wa kijinsia,sasa hata kama niwe wa kike siruhusiwi kuzungumzia soka????

Hebu onesha mahali walipoandika kuwa hapa ni special for men only.....

Muwage na akili nyie viumbe mbona hamjielewi????
 
Kuna wanaosema UCL ni ligi rahisi ndiyomana Liverpool anabeba, Lakini EPL ni Ligi ngumu ndiyomana Liverpool haibebi.

SWALI:

Sasa kama UCL ni ligi nyepesi kwanini wengine wasichuke? Au hawa kina Man City na wengine hawalitaki hili kombe?

Kwanini tusikubali tu kuwa Makombe yote (EPL & CL) ni magumu?
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Liverpool analidharau kombe la epl ndiyo maana hajalibeba kwakipindi Cha miaka26?
 
Mnashindwa kwenye arguements mnakimbilia katika ubaguzi wa kijinsia,sasa hata kama niwe wa kike siruhusiwi kuzungumzia soka????

Hebu onesha mahali walipoandika kuwa hapa ni special for men only.....

Muwage na akili nyie viumbe mbona hamjielewi????
Hawa wamevurugwa na point za kubebwa na var,

29 years without title sio kawaida ndio maana wanachanganyikiwa kabisa
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Liverpool analidharau kombe la epl ndiyo maana hajalibeba kwakipindi Cha miaka26?
29 mkuu sio 26....hawa kwa kifupi kitu kinachoitwa EPL hawajawahi kubeba,sisi THE FOXES tupo juu zaid yao
 
hili jukwaa linazidi kujaa watu kutoka kila kona kama chelwowo nyumbu mancity arsenane na kunakituko cha fox kimeingia eti(maisha yapo kasi kweli) ok me nafurahi binafsi maana kama mtu kwenye pitch kashindwa kupambana means maneno ndo kitu kilichobaki kwake na kauli za kinyonge. Nadhani ni muda wa washabiki wa LFC katika huu uzi kujivunia kwani wapinzani wakiwa wengi sana jua kua unawatesa,unawasulubu,unawaumiza .
Tujiulize mbona kipind tuko na kina CAROLL, SHELVER, BELLAM na wengineo tulikua hatusumbuliwi kias hiki lkn hiki kipind tuko na kina FAB, MANE, SALAH, BOBBY watu wanaumia tu bila sababu???? Hahaha bila kupapasapapasa utagundua kwel LIVERPOOL imekuja kufanya mapinduzi europian , na hiki ndo kinachowakosesha watu furaha yaan hawataki kuamin ile LIVERPOOL imerudi , na hik ndo kinawafanya watu washinde wanakejeli kwenye hii thread mitandaoni .
The problem umeshajisahau. Siyo wewe uliyekuwa unapiga umbea na ndugu zako wa Arsenal kwenye jukwaa la Chelsea? Halafu angalia utumbo ulio andika hapo.

tunakuja kwa sababu na nyie pia mnakuja msianze kujikuta special sana na wakati hata nafasi uliyopo ni ya muda tu.
 
hili jukwaa linazidi kujaa watu kutoka kila kona kama chelwowo nyumbu mancity arsenane na kunakituko cha fox kimeingia eti(maisha yapo kasi kweli) ok me nafurahi binafsi maana kama mtu kwenye pitch kashindwa kupambana means maneno ndo kitu kilichobaki kwake na kauli za kinyonge. Nadhani ni muda wa washabiki wa LFC katika huu uzi kujivunia kwani wapinzani wakiwa wengi sana jua kua unawatesa,unawasulubu,unawaumiza .
Tujiulize mbona kipind tuko na kina CAROLL, SHELVER, BELLAM na wengineo tulikua hatusumbuliwi kias hiki lkn hiki kipind tuko na kina FAB, MANE, SALAH, BOBBY watu wanaumia tu bila sababu???? Hahaha bila kupapasapapasa utagundua kwel LIVERPOOL imekuja kufanya mapinduzi europian , na hiki ndo kinachowakosesha watu furaha yaan hawataki kuamin ile LIVERPOOL imerudi , na hik ndo kinawafanya watu washinde wanakejeli kwenye hii thread mitandaoni .
that's the way you use to avoid the challenge ?????? Kwa kutaka opponents wasiattend kwa hii platform yenu hahahahahahahahahaha kwa hili mumefeli totally labda muombe mods walipeleke kule JLW huko mtakuwa na na amani mana wengi watakosa access ya kuattend lakini hapa tutawanyoosha kuku nyie....
 
the problem of liverpool fans is that,... you like hearing good things in your ears,you don't accept any challenge at all,

if someone challenges you then you will come up with a personal attack and this disease exists on all platforms except THE FOXES maana nimeyashuhudia kule Ase8,nyumbu na cheltako ....

MUBADILIKE AISEEEH

Tatizo lako wewe ni Plastic Fan

Umehama Arsenal
Umehamia Leicester City
Next sijui itakuwa wapi!
Yani wewe ni mshabiki hamahama
 
Tatizo lako wewe ni Plastic Fans

Umehama Arsenal
Umehamia Leicester City
Next sijui itakuwa wapi!
Yani wewe ni mshabiki hamahama
Wapi waliposema shabiki haruhusiwi kuhama?ukileta hicho kifungu najipiga lifeban,

ukiachana kwamba mimi sijawahi kuwa shabiki wa ase8....mbona nyie viumbe mnakuwa hivyo jamani
 
International break haina urafiki na Robbo kila akiitwa hachezi mechi mbili, anacheza mechi moja anapata minor au asicheze kabisa.
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom