koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Ollachuga Oc , Pain killer na Mashabiki wengine wa timu zilizoishiwa pumzi kama Chelsea,United na Arsenal nawaomba sana muwe na adabu.
Mnapokuja hapa jukwaani, muonyeshe heshima maana hili ni jukwaa la Club Bingwa barani ulaya. Hivyo basi mnapoitaja liverpool muanze kwa kusema CLUB BINGWA BARANI ULAYA LIVERPOOL wamefanya ......
Nadhani kuanzia sasa huu utaratibu uanze kutumika si kwa wale wageni toka majukwaa mengine hata sisi wa jukwaa hili. Hii ni klabu kubwa na ina heshima zake
YNWA









