Wewe ni mbumbumbu unayedhani uko vizuri

Your comments are useless, full of personal attacks etc.

Your name speaks volumes... Watery, yaani mimajimimaji Tu... If you know what I mean
Hiyo ya juu ni post yako ya mwisho kabla hujaandika hii ya chini kwenye hili jukwaa. Nimefanya ivyo ili na wengine waone we ni mtu wa aina gani na huelewi chochote kinacho endelea.
A very desperate post....

Hivi jf haiwezi kupima.akili za wanaopost?

Tuweke jukwaa la mataahira
Mimi nakuombea radhi kwa mashabiki wenzako pia napenda nikusihi jitahidi kuwa strong na maisha haya si lazima kila mtu ajue status yako.

Dont take everything too personal. Pole sana mkuu
 
Kumbe tunajibishana na Comedian

Ndiyo maana yake.

Hii ni post yake 2014 akiwa mshabiki wa Arsenal.

Gunnerz 4 real,
refa amekodiwa na wangese wa manure urinated anachezesha mpira kama mazoezi,
arsenal ushindi leo lazima

Na hii chini ni thread yake akiwa mshabiki wa Leicester City.

Na hii hapa ni post yake August 2015 akiwa mshabiki wa Chelsea.

Pogba atatufaa sana
Kama ingwzekana tuuze hazard tununue ox chamberlain pia fabrgas kachoka nafikiri ramsey angetusaidia sana

NB: Nahisi jamaa anahama kutegemea na boyfriend aliyenaye kipindi hiko anashabikia timu gani. Akiachwa akapata mwingine anahama timu.
 
Ndiyo maana yake.

Hii ni post yake 2014 akiwa mshabiki wa Arsenal.

Na hii chini ni thread yake akiwa mshabiki wa Leicester City.

Na hii hapa ni post yake August 2015 akiwa mshabiki wa Chelsea.

NB: Nahisi jamaa anahama kutegemea na boyfriend aliyenaye kipindi hiko anashabikia timu gani. Akiachwa akapata mwingine anahama timu.
Hahahahahahahaahah utapata tabu sanaaaaaaaaa....mara jamaa mara dada kwikwikwikwikwi....mkikabwa koo kidogo tu munaanza kumchimbua mtu,kwakifupi mimi huwezi kunielewa mtoto mdogo sana wewe,
 
Kumbe tunajibishana na Comedian
the problem of liverpool fans is that,... you like hearing good things in your ears,you don't accept any challenge at all,

if someone challenges you then you will come up with a personal attack and this disease exists on all platforms except THE FOXES maana nimeyashuhudia kule Ase8,nyumbu na cheltako ....

MUBADILIKE AISEEEH
 
Ndiyo maana yake.

Hii ni post yake 2014 akiwa mshabiki wa Arsenal.

Na hii chini ni thread yake akiwa mshabiki wa Leicester City.

Na hii hapa ni post yake August 2015 akiwa mshabiki wa Chelsea.

NB: Nahisi jamaa anahama kutegemea na boyfriend aliyenaye kipindi hiko anashabikia timu gani. Akiachwa akapata mwingine anahama timu.
Doh
 
FB_IMG_15739034958943096.jpeg
 
Hiyo ya juu ni post yako ya mwisho kabla hujaandika hii ya chini kwenye hili jukwaa. Nimefanya ivyo ili na wengine waone we ni mtu wa aina gani na huelewi chochote kinacho endelea. Mimi nakuombea radhi kwa mashabiki wenzako pia napenda nikusihi jitahidi kuwa strong na maisha haya si lazima kila mtu ajue status yako.

Dont take everything too personal. Pole sana mkuu
Wananijua Sana tu... Sihitaji msamaha

Post ya juu was a respective counter kwa mhusika

Second one same... The photo was useless, it has nothing to discuss... Quite a waste

Ukitaka tujadili soka, tunaweza tu

Nikupe kazi kidogo.... Pitia post zangu 12 tu kwenye hili jukwaa la LFC halafu uziquote zote.... Zitakupa good Sunday

Ujue raha ya ushabiki Ni Hadi kuona very senior admins wanatoa povu kwa namna LFC inavyopeta

Wamefikia waqti wamevua neutrality na kuanza kujibu banters za wanaLFC

KWELI TUMETOKA MBALI
 
Back
Top Bottom