Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6641.JPG
 
that's the way you use to avoid the challenge ?????? Kwa kutaka opponents wasiattend kwa hii platform yenu hahahahahahahahahaha kwa hili mumefeli totally labda muombe mods walipeleke kule JLW huko mtakuwa na na amani mana wengi watakosa access ya kuattend lakini hapa tutawanyoosha kuku nyie....
Sisi kuku ndio tena majogoo ya london
 
Ukitoa Watanzania, Washabiki pekee wanaozomea wachezaji wa Timu zao ni Washabiki wa Kiengereza.

Juzi tu Washabiki wa Arsenal walimzomea Granite Xhaka.

Na sasa washabiki wa Timu ya Taifa ya Uengereza wamemzomea Joseph Gomez.

Most Brithish Fans are idiots
 
Maisha yanaenda kasi sana!

Bobby Duncun aliihama Liverpool kwasababu anataka kucheza Senior Team (First Team).

Wakati huo Liverpool alikuwa U23 na alikuwa muda mwengine anatrain na First Team na possible ya kucheza Carabao na FA alikuwa nayo. Na bila ya kusahau alikuwa katika Ligi bora kabisa ya EPL.

Cha ajabu kaenda Fiorentina ili akapate kucheza First Team hatimae kaishia kucheza U20
 
Ukitoa Watanzania, Washabiki pekee wanaozomea wachezaji wa Timu zao ni Washabiki wa Kiengereza.

Juzi tu Washabiki wa Arsenal walimzomea Granite Xhaka.

Na sasa washabiki wa Timu ya Taifa ya Uengereza wamemzomea Joseph Gomez.

Most Brithish Fans are idiots
Gomez kiazi tu, anajiona yeye hana kosa

Mwenzake stering kashajishusha ila hio kuku ya liverpool bado inavimba,

Mashabiki wameshaliona hilo hawataki ujinga
 
Ninyi munapangiwa wakina Genk kwa nin musifike mbali?? Pangwa na wanaume wakina Ajax, Chelsea..

Halafu UCL ni game of chance..

Subiri uone msimu huu sisi tutafanya nini..

Kila la kheri Chelsea
Sasa nyie kila siku hamtumii hizo chances? kutwa mna kombe moja tu?
 
Nitakuwa na segmnt ya Je, wajuaaa???? Itakayokujia kila siku ya Jumatatu...na leo katika JE,WAJUA ????

JE,WAJUA????????

EPL trophies

Leicester 1
Liverpool 0

TUKUTANE NEXT MONDAY....!!!!!
 
Nitakuwa na segmnt ya Je, wajuaaa???? Itakayokujia kila siku ya Jumatatu...na leo katika JE,WAJUA ????

JE,WAJUA????????

EPL trophies

Leicester 1
Liverpool 0

TUKUTANE NEXT MONDAY....!!!!!

Ndio ulichobakiza hicho,eti leicester epl trophies halafu unaandika leicester 1,ungeandika throphy badala ya throphies.

Mkuu mpira umeanza kufatilia lini? Mnalazimisha kugawanya miaka ili Liverpool ionekane aina kikombe chochote.

Liverpool ya sasa inawanyima usingizi sana na na mtakonda kama sio kufa kabisa maana Liverpool kwa sasa tunawapelekea moto kwenye mioyo yenu.
 
Nimefurahi sana kuona leo umeandika paragraph mkuu,maana tulishazoea wewe ni mzee wa mapichapicha tu......otherways wewe ndio upo wrong coz EPL imetoa lots of trophies since 1992,so among of them tumebeba 1,while Liverpool ni empty set

Chati inasomeka

Nyumbu 13
Arsenane
Chelwowowo
Man city
Leicester city 1
.
.
.
.
.
.
 
Achana na Chelsea kabisa.

Mambo tunayofanya kwa sasa ni hatari kwa afya ya Liverpool na timu nyingine za kuunga unga kama arsenal, man u..

Sisi huwa tunafanya 'Impossible' kuwa 'Possible'

Ninyi asipokuwa salah na mane basi hauna timu apo.

Kila la kheri Chelsea
Mkuu Chugga hao Mane na Salah ni wachezaji Wa Liverpool na walisajiliwa na kulipwa mihela mingi tu kufanya wanachofanya sasa..

Kingine hao Mane na Salah bana hawachezi wenyewe hivyo tulipo ni juhudi la team mzima na tutaendelea kuwepo hivyo utulie hivyo hivyo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom