Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wamepata tabu sana Anfield hawa makipa mpaka huruma.

Bravo akiuangalia mpira alopiga Mané
Screenshot_20191114-040808~2.jpeg
Screenshot_20191114-040759~2.jpeg
Screenshot_20191114-040754~2.jpeg
Screenshot_20191114-040749~2.jpeg
 
Kutangulia sio kufika

Nyie historia yenu tunayo

Liverpool inaongozaga tu, linapokuja swala la kuwin title mnatoa macho tu,

Ongozen league, wanaume tunakuja kuchukua epl

Ni swala la muda tu.
Porojo hizo!
Ohh Klopp hawezi shinda final akamnyuka mtu 2-0
Ohh Klopp penalty hawezi shinda na kuchukua ubingwa akanyuka Chelsea kwa penalty
Ohh Pep ana kikosi kipana sana kanyuka 3
Sasa ohh huwa anatangulia,ni porojo za sore loser
Klopp hafanyi makosa mara mbili
 
3-1 za kubebwa na var

Liverpool mna laana tu, mnatembelea var kupata ushindi ,hamuwez kuwin title kizembe hivo, saizi mnavimba tu na vi match 12 out of 34 ,tulishawazoea sana kuongoza league

Gori la salah offside var ikazima

Gori la kwanza, handball ila var ikazimwa

Harafu mnavimba
 
We,kaendelee kuwadanganya wenzio wa kubeti tu.
 
Ollachuga Oc , Pain killer na Mashabiki wengine wa timu zilizoishiwa pumzi kama Chelsea,United na Arsenal nawaomba sana muwe na adabu.

Mnapokuja hapa jukwaani, muonyeshe heshima maana hili ni jukwaa la Club Bingwa barani ulaya. Hivyo basi mnapoitaja liverpool muanze kwa kusema CLUB BINGWA BARANI ULAYA LIVERPOOL wamefanya ......

Nadhani kuanzia sasa huu utaratibu uanze kutumika si kwa wale wageni toka majukwaa mengine hata sisi wa jukwaa hili. Hii ni klabu kubwa na ina heshima zake

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom