Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 13,546
- 28,490
VAR haiwezi kukataa goli lilofungwo 'kihalali' case kama ya Manu vs us at Trafford...Ntakupa mfano hai,unakumbuka mechi ya man untd na Liverpool!!?origi aliangushwa na mpira ukaendelea Hadi goli likaingia VAR iliporudia iliona lile kosa so pale yalikuwa yanatakiwa MAAMUZI ya refa tu maana video assistant referee ilishaonesha ambacho refa hakukioona lkn refa akakaza akakubali goli.nachoamini kuna mawasiliano ambayo Yule head wa VAR anafanya na referee na referee anao uwezo was kuchukua huo ushauri au kutochukua...MWENYE KUELEWA ZAIDI ATANIREKEBISHA
Japo refa wa uwanjani anaweza kuambiwa kama ile foul ya Origi bado VAR hawawezi kumwambia asimamishe mpira mbali yeye refa baada ya kuambiwa anaweza kusimamisha mpira...
Inahitaji uvumilivu na kwa vile ni msimu Wa kwanza inatumika EPL bado watazidi kuiboresha zaidi