Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! We jamaa ni bingwa wa kufukuwa Makaburi.
Ndiyo maana yake.

Hii ni post yake 2014 akiwa mshabiki wa Arsenal.



Na hii chini ni thread yake akiwa mshabiki wa Leicester City.


Na hii hapa ni post yake August 2015 akiwa mshabiki wa Chelsea.



NB: Nahisi jamaa anahama kutegemea na boyfriend aliyenaye kipindi hiko anashabikia timu gani. Akiachwa akapata mwingine anahama timu.
 
IMG_6654.JPG
 
City alivochukua ubingwa alifungwa na

Chelsea
Newcastle
Crystal palace

Liverpool ali draw na
Man u
Newcaslte
Man city
Everton ,kama sikosei

Man city win,
Mkuu mpaka sasa defence ya Pep ni pasua kichwa mpaka kufika Jan itakua Isham cost Sana tu...

Kuumia Kwa Laporte na kutosajili beki mpya Wa kati baada ya Vin kuondoka kimewa cost Sana Citizens...

Kwa sasa watachapika tu labda na Washindani wao wapoteane
 
Ukitoa Watanzania, Washabiki pekee wanaozomea wachezaji wa Timu zao ni Washabiki wa Kiengereza.

Juzi tu Washabiki wa Arsenal walimzomea Granite Xhaka.

Na sasa washabiki wa Timu ya Taifa ya Uengereza wamemzomea Joseph Gomez.

Most Brithish Fans are idiots
Mkuu King Ngwaba Kwangu bhana naona mashabiki wanaongoza kuzomea wachezaji wao ni wa Real Madrid wakifuatwa na Barcelona.. Wale jamaa hawana shukrani matokeo yakienda ndivyo sivyo basi utawasikia zomea zomea kila kona ya uwanja na pia magazeti yao full kuponda.....
 
Nitakuwa na segmnt ya Je, wajuaaa???? Itakayokujia kila siku ya Jumatatu...na leo katika JE,WAJUA ????



JE,WAJUA????????

EPL trophies

Leicester 1
Liverpool 0

TUKUTANE NEXT MONDAY....!!!!!
Liverpool ana 18 league titles......na kama unachukua kubadilishwa kwa jina au mdhamini basi tambua carabao cup tangua ianze bingwa wake ni man city tu......shubamiit!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom