Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
kabisa n also to attract top talents..this is just awesome...Sasa we have power to keep our key players to stay.They are now feel the emotional of ANFIELD
kabisa n also to attract top talents..this is just awesome...Sasa we have power to keep our key players to stay.They are now feel the emotional of ANFIELD
Aione AROON hii comment.
cant picture Pep face after th final whistle...his mission ws UCL ours ws UCL n EPL..we threw away th chance to take both n now we have th BIG one..SIX TIMES................
CHAMPIONS LEAGUE
Ni wivu tu mkuuKWA HIYO MODS WAMEGOMA KUTUWEKA PICTURE YETU MPYA SIO.
wapo wengu Sterling, Surez n.k wameisoma namba...Liverpool is made for thisSi bora hata Neymar, Je Coutinho...![]()
Hahaaa...akina kiduku"Sterling" wana hati ya kukosa kushiriki EUFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani maana bado hatma yao haijajulikana kule FIFA kwa matumizi ya juu kifedha kuliko uhalisia wa uwezo wa Man City ktk usajili wa wachezaji mbali mbali.wapo wengu Sterling, Surez n.k wameisoma namba...Liverpool is made for this
Hahaaa...akina kiduku"Sterling" wana hati hati ya kukosa kushiriki EUFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani maana bado hatma yao haijajulikana kule FIFA kwa matumizi ya juu kifedha kuliko uhalisia wa uwezo wa Man City ktk usajili wa wachezaji mbali mbali.wapo wengu Sterling, Surez n.k wameisoma namba...Liverpool is made for this
ndugu Liverpool hii ishakomaa...twasema winning ugly period..hayo yakuboa hayatuhusu.Niumie nni?? Ila ukweli lazima usemwe kuwa final ilikua mbovu sana..... Bora hata mechi ya barca na liver mlioshinda 4 kidogo ilikuwa na mshike mshike ila hii imedorora mno way below expectations.
Spurs were shit.... Liver were blunt
hahahaha UCL wataisikia kwa wengine, hili sio Carabo...na wafungiwe sasa zile nyimbo zao za kejeli sijui watamwambia nani maana sie tumepata kubwa lao..Hahaaa...akina kiduku"Sterling" wana hati ya kukosa kushiriki EUFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani maana bado hatma yao haijajulikana kule FIFA kwa matumizi ya juu kifedha kuliko uhalisia wa uwezo wa Man City ktk usajili wa wachezaji mbali mbali.
hahaha Mayor wa jiji la Anfield hata kabla ya jana alishamaliza maadalizi ya kulipokea hili kombe pale Anfield...limetuaaaaa at lastKwahiyo Kombe halitotolewa au?
Huyu jamaa tuna mashaka na usalama wake. Sijui kapotelea wapi.
he is a special kid, EPL best...amewatumikia vyema hio miaka 7..wish angeedelea kubaki ligi izidi kunoga..Hazard hatakuwepo so sitajisumbua kabisa kuangalia mechi ambayo naamini najua timu yangu Chelsea itafungwa tu nikiwa hai...![]()
Nimemwona leo, kashusha gazeti kule kwenye uzi wao akitoa tathmini ya timu ilivyofeli.
Mimi mwenyewe nilikuwa na wasiwasi naye.
na bado wengine Uingereza wanachemka kutupita sisi Wekundu ndio Vidume UCL..hii inaitwa Class la 6 tayari limetua.Tofauti hii huonekana kila baada ya miaka 15![]()
Duh, fabinho kapotea lini mkuu, keita ukiacha majeruhi lini ka underperform?Mkuu kama unafatilia mechi za liverpool, hawa sio wachezaji wakuwa vizuri kila mechi... Yaani nina maanisha .... KEITA anakuwa mzuri mechi moja alafu mechi tatu mfululizo anaboronga vivyo hivyo kwa fabinho
Tunahitaji wachezaji wa kuaminika kila mechi kama,Mane,vin dijk,A. Anord na Allisson
Fabhino kaupiga mwingi sana jamaaHii ndiyo Best picture kwa mimi
Unajuwa ni kweli jana haikuwa kama semi final kwa sababu, moja mechi ya semi final tulikuwa hatuna option ilikuwa ni lazima tu twende nguvu zote ili tuweze kupita na ndio maana ilikuwa ni press tu mwanzo mwisho. sasa jana kuna vitu viwili vilifanya game iwe vile, Liver walikuwa na wasiwasi na matokeo ya mwaka jana na history ya kocha kuwa kila final anapoteza. kupata goal moja mapema ikabadili tactic ya team kuwa fullbacks wasipande ikawa tumepunguza speed ya kwenda wengi mbele sasa ingetokea Spurs ndio kupata goal sio Liver hapo tungeona game lakini kikubwa kwa sisi Liver sio kucheza vizuri ni kushinda kombe maana tulicheza vizuri Barcelona tukaishia kupigwa 3 ikabaki story zote Mess utasema hatukucheza jana itabaki Liver tu sababu tumeshinda.Semi final ilikuwa kali kuliko hii final ya jana. Mungekutana na timu kama man city au Chelsea tungeongea mengine leo.
Hongereni Sana.
#TukutaneSuperCup
Fabinyo? Upo serious mkuu?Mkuu kama unafatilia mechi za liverpool, hawa sio wachezaji wakuwa vizuri kila mechi... Yaani nina maanisha .... KEITA anakuwa mzuri mechi moja alafu mechi tatu mfululizo anaboronga vivyo hivyo kwa fabinho
Tunahitaji wachezaji wa kuaminika kila mechi kama,Mane,vin dijk,A. Anord na Allisson