Sisi na Man u yetu mbovuu sijui hatima yetu nini![]()

Hizi nimepiga mwenyewe zitakaa vibaya. Ila enjoyWekeni Mapicha basi
Then unaweza shangaa akianzishwa tena akawa anaharibu sana ni bora tu atokee benchiINCOSISTENT
Watu wamebishana sana kuhusu ile penati aiseeHONGERA SANA KWA REFA ALIYECHEZESHA MPIRA VIZURI MAANA INGEKUWA NI AFRICA TUNGEJUTIA KUTAZAMA MPIRA KAMA JANA![]()
Hizi nimepiga mwenyewe zitakaa vibaya. Ila enjoyView attachment 1114647View attachment 1114648View attachment 1114649
Unatarajia mpinzani aungane na wewe?Watu wamebishana sana kuhusu ile penati aisee
Neymar huko alipo anaona Aibuuu
Washazoeleka hat hivyo kwa hiyo si jambo geni hataUnatarajia mpinzani aungane na wewe?
Waache kama wanabisha kishabiki.
Ila hoja ipo.
Refa ndio kaamua,uhalisia sio penatiWatu wamebishana sana kuhusu ile penati aisee