Usiniringishie sasaBravo, bravo.
We promise you to go all length to capture your attention.
You might consider joining forces in a very near future.


Usiniringishie sasaBravo, bravo.
We promise you to go all length to capture your attention.
You might consider joining forces in a very near future.


Waoooo, hiyo party mnaifanyia wapi?Wewe sasa ndo mshabiki wa mpira ahsante mnoo unastahili kuwekwa kiti kilefu uwe unatuchora tukiburudika
Nilipiga pasi Jana, ila hamna shida leteni na leo nitapigaacute b aje kutupigia pasi
Sababu united ina wachezaji handsome wengi![]()
Ntashangaa wasipompaApo balon d’or ni Van dirk
Hapo naweza kukubali, hasa kama walijoin kipindi cha Ronaldo.
Nilikuwa na rafiki wa kike alikuwa Arsenal kwa sababu ya kumpenda Thierry.
Ntashangaa wasipompa
La liga ni ligi ya kipumbav sana now nmeanza kuaminiHuu mwaka mgumu sana kwa wahispania na la liga yao wanatamani mno waungane wampe messi hio tuzo
Salah hajaflop mm nakataaa usiendeshwe na mshabiki za man utd ,,game change ukiangalia msimu huu ulikuwa mgumu sana kwamfano utasema aguero kaflop starling ameimprove au!?? Mpira saivi umekuwa wakasi na mgumu ndio maana hata top score wote wanachezea goal 22 ukilinganisha na msimu uliopita top score yupo 33 huko so ni swala mpira kubadilika.Mkuu Fabinho anacheza CDM ambapo kazi yake ni kukaba labda labda na kuunganisha timu katikati kurudi nyuma sasa vipi useme kuwa Fabinho anapwaya ? Fabinho anakaba kwa ufanisi, anamiliki Mpira vizuri kuliko hata Firmino n.k
Tukija kwa Salah ni kweli huyu mtu kaflop sana lakini katika hili Klopp anabeba lawama maana jamaa nyuma amewakosa watu waliomsaidia sana kama Coutinho,Chamberlain na sasa hivi anawekewa nyuma yake viungo wasio na uwezo halafu wachoyo kama Milner,Henderson na Wijnaldum
Enzi za ujana wa Beckham hujaona alikua moto sio kipindi cha Ronaldo tu.
Brazil pia niliipenda enzi za Ronaldo de lina na akina Rivaldo. Ila kwa sasa hata haina mvuto nimeitupa kule nikabaki na R madrid
Mkuu Fabinho anacheza CDM ambapo kazi yake ni kukaba labda labda na kuunganisha timu katikati kurudi nyuma sasa vipi useme kuwa Fabinho anapwaya ? Fabinho anakaba kwa ufanisi, anamiliki Mpira vizuri kuliko hata Firmino n.k
Tukija kwa Salah ni kweli huyu mtu kaflop sana lakini katika hili Klopp anabeba lawama maana jamaa nyuma amewakosa watu waliomsaidia sana kama Coutinho,Chamberlain na sasa hivi anawekewa nyuma yake viungo wasio na uwezo halafu wachoyo kama Milner,Henderson na Wijnaldum
Semi final ilikuwa kali kuliko hii final ya jana. Mungekutana na timu kama man city au Chelsea tungeongea mengine leo.Inamaana pale mulipoambia FAINALI ilimaliza against Barca Leo tunakamilisha ratiba tu muliona utani?





Very true, hapo kwa Salah umegusa point kubwa sana.
Thank you, kuna watu hawamwelewi Salah, Salah siyo self creator, ni finisher.
Anapokuwa hana watu wa kumsaidia ili afanye finishing, struggle ni lazima.
Dunia ya saivi tunahitaji multipurpose players... Hii ndio sababu messi na ronaldo ni boraForward yeyote leo hii ili a perform anategemea sana watu nyuma yake ambao ni viungo. Firmino msimu huu kwenye ligi ana goli 12 wakati nilitegemea apande kutoka 15 za msimu uliopita afike 20 msimu huu
Team hata kama ikizidiwa wanaweza kusadia na sio kusubiri msaadaForward yeyote leo hii ili a perform anategemea sana watu nyuma yake ambao ni viungo. Firmino msimu huu kwenye ligi ana goli 12 wakati nilitegemea apande kutoka 15 za msimu uliopita afike 20 msimu huu
Dunia ya saivi tunahitaji multipurpose players... Hii ndio sababu messi na ronaldo ni boraTeam hata kama ikizidiwa wanaweza kusadia na sio kusubiri msaada
Kuna exceptional players kama The Ronaldos (CR7 and R9) wanaweza kujitengenezea chances.
Ila aina ya Salah, Messi ni watu ambao lazima wawe kwenye system nzuri ili kuwa effective.
Ndiyo maana leo kila siku tunalalamika performance ya Messi kwenye National Team.



Of course hasa kwa case ya Messi simkumbuki kiungo wa maana hata mmoja nyuma yake katika national team
Wakati Catalonia alikuwa na Xavi, Iniesta wote hawa wakiwa ni World Class Players