Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ooooooow, Fantastic news. Jana nilisinzia mkiwa 0-1
Congratulations on your well deserve victory!!!!!!!!
You are a CHAMPION,you are amazing, You are a superstar!!!. You are a true legend and inspiration to all us.
All your hard work, practice, commitment, prayers and all your efforts to improve your skills, have made you a Champion.
I am happy for your success.
chaliifrancisco
Don Clericuzio
pension
KING ngwaba
Malafyale
Ed n Edd nEddy
Manga ML
Et al

It's your time to pop open the champagne. Mchumia juani hulia kivulini. (You have wanted to win for a while)
Wewe sasa ndo mshabiki wa mpira ahsante mnoo unastahili kuwekwa kiti kilefu uwe unatuchora tukiburudika
 
Mid mbona tunao mkuu Fabinho na keita labda ukiniambia tuongeze hata mmoja
Mkuu kama unafatilia mechi za liverpool, hawa sio wachezaji wakuwa vizuri kila mechi... Yaani nina maanisha .... KEITA anakuwa mzuri mechi moja alafu mechi tatu mfululizo anaboronga vivyo hivyo kwa fabinho

Tunahitaji wachezaji wa kuaminika kila mechi kama,Mane,vin dijk,A. Anord na Allisson
 
Nawapongeza sana liverpool , hongereni aiseh,, mm man utd ila jana nlikuwa upande wa Liverpool, hongereni sanaaa

Kwa mara ya kwanza jana tulikosa sapoti ya mashabiki haikua kawaida kabsaa vibanda umiza walisikika tukikoswakoswa

Hongela sana mkuu ulilala vyema usiku wa jana
 
mkuu leo tuna kazi moja tu ya kujipongeza kwa ushindi wa jana hizo complains nyingine ungeziacha kwanza fan mwenzangu!
Huyo jamaa wenzie tukicheka yeye akasirika siku tukichukia yeye anacheka ha ha haaaa
 
Mkuu kama unafatilia mechi za liverpool, hawa sio wachezaji wakuwa vizuri kila mechi... Yaani nina maanisha .... KEITA anakuwa mzuri mechi moja alafu mechi tatu mfululizo anaboronga vivyo hivyo kwa fabinho

Tunahitaji wachezaji wa kuaminika kila mechi kama,Mane,vin dijk,A. Anord na Allisson

Asante mwl Kashasha, kwamba Fabinho hayuko consistent!

Acheni kufanya uchambuzi kwa mechi ambazo hamjaziangalia.
 
Mkuu kama unafatilia mechi za liverpool, hawa sio wachezaji wakuwa vizuri kila mechi... Yaani nina maanisha .... KEITA anakuwa mzuri mechi moja alafu mechi tatu mfululizo anaboronga vivyo hivyo kwa fabinho

Tunahitaji wachezaji wa kuaminika kila mechi kama,Mane,vin dijk,A. Anord na Allisson

Niambie Keita nitakuelewa kwamba dogo amekuwa na msimu ambao sio mzuri lakini kwa Fabinho unakosea sana sababu Fabinho mpaka amesecure namba ya kudumu

Kwa lile eneo Fabinho anaweza kucompete hata na Busquets, Kante, Fernandinho etc
 
We are the Champions #UCL #YNWA
IMG_20190602_021701_301.jpeg
 
Niambie Keita nitakuelewa kwamba dogo amekuwa na msimu ambao sio mzuri lakini kwa Fabinho unakosea sana sababu Fabinho mpaka amesecure namba ya kudumu

Kwa lile eneo Fabinho anaweza kucompete hata na Busquets, Kante, Fernandinho etc
Mkuu hilo unaliona kwa vile tumeshinda mechi nyingi.. Unajua team ikishinda watu hawaoni makosa ya mchezaji mmoja mmoja.. FABINHO anapata namba kwasababu ukimlinganisha na KEITA bora yeye, ila kiuhalisia huwezi kumlinganisha na kante au fernandinho

Kama uliangalia mechi ya jana Salah hakupaswa kucheza dakika 90, na kama ile mechi ya Barcelona Salah angekwepo huenda tusingefanikiwa kufanya comeback

Kwa ufupi tunahitaji usajili wa maana ili ku-maintain status yetu... msimu ujao utakuwa mgumu zaidi, tunahitaji kwenda uwanjani kwa tegemeo moja tu la kushinda
 
Mkuu Fabinho anacheza CDM ambapo kazi yake ni kukaba labda labda na kuunganisha timu katikati kurudi nyuma sasa vipi useme kuwa Fabinho anapwaya ? Fabinho anakaba kwa ufanisi, anamiliki Mpira vizuri kuliko hata Firmino n.k

Tukija kwa Salah ni kweli huyu mtu kaflop sana lakini katika hili Klopp anabeba lawama maana jamaa nyuma amewakosa watu waliomsaidia sana kama Coutinho,Chamberlain na sasa hivi anawekewa nyuma yake viungo wasio na uwezo halafu wachoyo kama Milner,Henderson na Wijnaldum
 
Sawa mkuu hivyo unakubali yatubidi tufanye usajili wa maana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom