Finali haina leg mbili fanya uwezavyo ushinde basi ila kihalali.
*Mourinho anakuambia final is a game of one game*
Spurs ni very weak kwa timu inayoweza kuplay counter attack na kudefend deep ndio kilichowakuta leo", ukisema uzoefu kipimo chake hakipo kiwepesi. Kwa nini? Ndani ya miaka kumi hii spurs ameshiriki mara nyingi uefa kuliko lfc.Labda uzoefu wa jina la klabu.
So far so good Klopp amemature sana kwenye ku approach games (sasa nimemuelewa) na ametengeneza chemistry ya team nzuri sana na anaendelea kuisuka chemistry bila kutegemea mtu mmoja.
Klopp kuweka pembeni ubishi wa kufundisha players rather than kununua big players (naamini katika mazoezi) leo hii imemlipa na itamlipa.
Allison VVD Robertson Keita (tatizo injuries


) na Shaq vimemlipa na vitamlipa.
Mwaka huu liverpoolfc tunauwezo wa kubeba makombe kama matatu 3 hivi",..
Community shield, super cup, club world cup. We deserved to be champion 2018/2019.
I except more productive signings this summer na prone kadhaa.
We are liverpool allez allez allez YNWA YNWA YNWA
We are family.