Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5415.JPG
 
Habari za ushindi mkubwa Liverpool. Wanaosema kuwa fainali ya UCL Jana 1/06/2019 ilikuwa DULL na mbovu Ninaamini walipenda Liverpool apoteze/ afungwe.
The Reds walishamaliza game ngumu na Barca. Liver alihitaji kombe tuuu. Ahesabu tu( 6 th time)
Tumepata bao la mapema. Ilikuwa Kazi ya Spurs kutafuta goli.
Spurs wameposses mpira kwenye eneo lao na hawakuwa na hatari.
Dkk ya 87 Kama ada Kama kawaida yake jaluo akamaliza show.
Henderson akanyanyua kwapa.
HONGERA LIVERPOOL,HONGERA THE REDS.
 
Nyie mnaosema haukuwa mpira mzuri mlitaka iweje! Let's me tell you football is about techniques hijalish umeshindaje mwisho wa siku yanahitajka matokeo

Niwakumbushe kitu enz Za JOSE mourinho Chelsea na inter Milan alikuwa anapaki basi mwanzo mwisho navicounter attack na alikuwa anapata matokeo kumbuka fainali aliyocheza na Barcelona akiwa inter Milan Hizo znaitwa mbinu

Kama tungepoteza Jana nadhan Huyu duduwasha anayejiita PainKiller angeweka kambi hapa usiku kucha nachoweza kusema magoli yote yalikuwa halali

Mwisho kumbuka usiyekubali kishindwa s mshindani hofu yangu ilikuwa kwa mashabik wetu ambao wameanza kushangilia mpira miaka ya 2006+ maana hawajawah ona timu yao ikichukua kombe kubwa hatimae Leo wamepata mwanga Mpya pia pongezi kwa mashabik wa Tottenham wanatimu nzuri wakipambana ipo siku watalichukua hili kombe

#HatutakiMazoeanawatotoWadogo
 
Finali yetu ya kutandaza soka safi ilikuwa na Barcelona
 
Mim nasema timu zote mbili jana zimecheza pumba tu,

Final mbaya ambayo haijawahi tokea toka dunia iundwe
Natumaini watu wazima kama mimi wemeshaliona hili,

Hawawezi ruhusu tena kuinguza final timu kama hizi ni aibu
 
Kama timu imefuzu kwa kufuata vigezo vyote kuna shida gani Au wwe unawapangia namna ya kucheza?kila mwalimu ana game approach yake kulingana na mpira

Labda nikuulize wwe timu yako inayocheza vzuri imechukua nn katika kikombe hiki Hao wnaocheza vzuri wako wapi

Ss Liverpool n mashabik wa makombe s mpira mzuri Kama mpira mzuri nenda Barcelona m city an the like Kama unataka vikombe karbu sna Liverpool
#Hatutakimazoeanawatotowadogp
 
Mim nasema timu zote mbili jana zimecheza pumba tu,

Final mbaya ambayo haijawahi tokea toka dunia iundwe
Natumaini watu wazima kama mimi wemeshaliona hili,

Hawawezi ruhusu tena kuinguza final timu kama hizi ni aibu
Wewe utakuja kua kichaa kwa wivu wako,wenzako wanacheka saiv,ww unaangaika mbaya mbaya,watu wameshaweka gap tayari hapo,ni tafrija tu saiz
6 Uefa cup!..
 
Mim nasema timu zote mbili jana zimecheza pumba tu,

Final mbaya ambayo haijawahi tokea toka dunia iundwe
Natumaini watu wazima kama mimi wemeshaliona hili,

Hawawezi ruhusu tena kuinguza final timu kama hizi ni aibu
Mwakani Liverpool wanaenda chukua kikombe cha uefa cha 7 tena!..hamia Liverpool tu hakuna namna sasa!...
 
Watu ufahamuni mpira jaman.

Huwa kila kikicha unabadilika badilika ndio maana cr7,mess,,kila siku hawawezi kukupa Yale Yale uwanjani na wao hubadilika na mambo yakiwa hayamfai anabaki katika form yake so upande wa salah nakataaa MTU akinambia ameflop kwanza namwona huyo analeta ushabiki wa mess na ronaldo so ishu ni kwamba EPL msimu huu ilikuwaje,,ishu simple tu angalia ubingwa wenyewe ulichukuliwa je angalia top four ikoje,,,mpira unabadilika sana.
 
Mim nasema timu zote mbili jana zimecheza pumba tu,

Final mbaya ambayo haijawahi tokea toka dunia iundwe
Natumaini watu wazima kama mimi wemeshaliona hili,

Hawawezi ruhusu tena kuinguza final timu kama hizi ni aibu
Pole sana maumivu yakizidi nenda umwone daktari. Mpira safi tulishaonesha mbele ya Barca,Bayern na PSG jana ilikua kuchukia kombe tu. Urembo na mpira mpeleke neymar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom