Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha, tuchukulie Arsenal ndiyo Lulu, ninyi ndiyo mabingwa wa ukweli.
Don mbona thread haijafanyiwa mabadiliko hapo juu mpaka muda huu au moderator ni wapenzi wa man utd.
hongera kwa ubingwa.​
hongera kwa kuonyesha kiwango bora kwa msimu mzima bila ya kutetereka, hata kama ligi ya mabingwa ingelikuwa haichezwi kwa mfumo wa knockout competition liverpool pia wangelikusanya alama nyingi.

msimu ujao tafuta mchezaji atakayemletea ushindani mohammed salah pamoja na roberto firmino na kama utafanya hivyo basi una uhakika wa kucheza tena nusu final msimu ujao.
 
IMG_5407.JPG
 
Mods hawako active kwenye ku-edit uzi wetu, na aliyeuanzisha siyo mshabiki wa Liverpool pia.

Klopp ni moja ya watu ambao wakishamkubali mtu ni ngumu sana kumwacha mtu huyo, pale mbele Salah, Mane na Firmino tayari sana hati miliki, wawe kwenye kiwango au wasiwe.

Anaweza kusajili bado akawakalisha bench, angalia issue ya Fabinho namba 6, mpaka baada ya kitucost EPL ndiyo kakubali kwamba Henderson siyo mzuri namba 6 na akaomba msamaha.

Kwa hiyo hata plans za usajili tunasubiri kuona nani anakuja. Ila bado hatuna namba 10 kwa ajili ya kulink mids na strikers, Ox amepona, tutaona itakuwaje.

Ninatamani tupate namba 10 mwenye uwezo wa kufunga nje ya 18, maana toka Coutinho aondoke hayo magoli yameondoka naye.

Naamini tutafanya kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom