Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kama hii eeh?
View attachment 1114652
Wacha Uboya
Kama hii eeh?
View attachment 1114652
Watu wamebishana sana kuhusu ile penati aisee
Yote kwa yote, imezaa goli na liver kachkua kombeRefa ndio kaamua,uhalisia sio penati
Paka poriKLOPP OUT
KLOPP OUT
KLOPP OUT
KLOPP OUT
Unatarajia mpinzani aungane na wewe?
Waache kama wanabisha kishabiki.
Ila hoja ipo.
U know better mkuu... Ajax mngewafunga kwa kuwazidi uzoefu ila fainali ingekuwa ya vuta-nkuvute na isingekuwa imedorora kama hii. Kweli mmeshinda ila fainali ni mbovu sana, spurs were shit.Hahahahahahahahah Eti Ajax sasa ndio angefanya nini
Mtabaki hapo hapo mnatoa mapovu ndio tushabebaa endelea kuumia roho hasidi!U know better mkuu?? Ajax mngewafunga kwa kuwazidi uzoefu ila fainali ingekuwa ya vuta-nkuvute na isingekuwa imedorora kama hii. Kweli mmeshinda ila fainali ni mbovu sana, spurs were shit.
Tulishafungwa mwaka jana na kila mtu anajua fainali magoli mpira mzuri tumwachie arsenalU know better mkuu?? Ajax mngewafunga kwa kuwazidi uzoefu ila fainali ingekuwa ya vuta-nkuvute na isingekuwa imedorora kama hii. Kweli mmeshinda ila fainali ni mbovu sana, spurs were shit.
Sasa lile Tusi la Trophyless litatuondokea
Ebu wa update watuwekee ilo kombe hapo juu ya Uzi....Picha yake tu mamaaaaaaeeeeeSIX TIMES................
CHAMPIONS LEAGUE
Game ilipoa na waliopoza game ni livaGemu haikua bomba magoli ya kawaida tu mkuu.
Sasa lile Tusi la Trophyless litatuondokea
Hahahaha hamna bana yeyote alikuwa halali yetu ila tu game iliboa sanaTatizo ulikuja na matokeo tayari![]()
Kungekuwa na timu ya mrengo mwingine labda mechi ingekuwa na pressure
One of the worst finals. Congratulations though