koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Basi haina shida hiyo penalty ifute matokeo yabaki 1-0Refa ndio kaamua,uhalisia sio penati
Basi haina shida hiyo penalty ifute matokeo yabaki 1-0Refa ndio kaamua,uhalisia sio penati
Niumie nni?? Ila ukweli lazima usemwe kuwa final ilikua mbovu sana..... Bora hata mechi ya barca na liver mlioshinda 4 kidogo ilikuwa na mshike mshike ila hii imedorora mno way below expectations.Mtabaki hapo hapo mnatoa mapovu ndio tushabebaa endelea kuumia roho hasidi!
atatua mwanitesa unitedHatimaye Bundi karuka Anfield sijui atatua wapi huyu ndege, naomba akatue kule Gunners![]()
Alafu Gary alitaka tutoke haya mashindano kwani yy Manager wa timu yetu? Naushauri wake mbovu sasa pigeni kelele Hendo kabeba Kombe hahahaKila mchezaji sasa atataka kucheza Liverpool.
Yote kwa yote, imezaa goli na liver kachkua kombe
Dah LIVERPOOL NI FAMIL KWEL VIBE KAMA LOTE AISEE


Kwahiyo Kombe halitotolewa au?
Mtu mwenye akili timamu kichwani kamwe hawezi kutetea hoja kwa kigezo cha "nge"U know better mkuu... Ajax mngewafunga kwa kuwazidi uzoefu ila fainali ingekuwa ya vuta-nkuvute na isingekuwa imedorora kama hii. Kweli mmeshinda ila fainali ni mbovu sana, spurs were shit.

Pambav zakeNeymar huko alipo anaona Aibuuu
Na tunawafatilia kiundani hasa kwa kutumia mapesa mengi kuliko vigezo thabiti ktk kununua wachezaji ili watwae ndoo mbali mbali Ulaya, huenda wasicheze hata UEFA Champions league mwakaniKaeni na Carabao na EPL zenu

Refa ndio kaamua,uhalisia sio penati
Ha ha haaa na ile kauli yao ya loserpool cjui wataiweka wapi,kikombe cha sita hicho AnfieldWalikuwa wanasema klopp anangundu na final.sasa sijui watajificha wapi?
Anataka kuanza ligi wakati imeshaisha tayariNa kama hataki aandamane au asage chupa, au anywe hata sumu afe...asitusumbue bn...![]()
Umeongea point moja kubwa sanaBasi haina shida hiyo penalty ifute matokeo yabaki 1-0