Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wallah Origi kamprove wrong Kloop. Huyu jamaa klopp alikuwa amwamini kabisa. Kuumia kwa salah imekuwa faraja kwetu. Pia kuumia kw captain imetusaidia sana.

Kweli maajabu yapo duniani.

Ukisikia uchawi ndiyo huu sasa... Yaani kweli mwanaliverpool unashangilia kuumia kwa Salah au Captain.

Hata hiyo jana kazi ya captain hukuiona?
 
Liverpool kapitia njia ngumu sana kufika fainali, nawatakia kila la heri waambulie hata UEFA maana watataabika sana mwaka huu ikiwa hawatabeba kombe lolote
 
mungu wenu wa soka hajawasikia au?
 
Comeback kubwa duniani siku hizi imepata jina
Inaitwa Barcelona Style AU Barcelonization
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…