Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu nashukuru kwa penzi lako na uchezaji wa Henderson...

Kumfananisha na Fabi japo bado ni mapema sana si sahihi kabisa..

Fabi kwenye ligi mechi alizocheza ndio kiungo wa timu yetu anaongoza kwa accurate passing, tackling, interception, n.k sasa huyu Henderson hizo sifa zote unazompa ni kwenye mechi zipi...

Fabi pia from Midfield ana assist mbili classic Mechi ya Vs Manure pale Anfield alitoa pasi murwa goli la kwanza Mane, Vs Wolves kwao alitoa pia pasi maridadi kabisa...
na jana?
 
mlikuja kupiga kelele kule kwenye viunga vya Emirates kuwa tumepoteza game mbili mfululizo sasa naona na nyinyi mpo kimya now hahahahahahahahahahahaha usitukane mamba sasa jiandae kichapo mechi inayofuata ya ligi ili uvunje rekodi maana nyie ni mabingwa wa kuokoteza vijirekodi uchwara hahahaha fabinho akienda chooni mtakuja kusema hapa hahahahahahah wolvers yaaaaaah yaaaahhhhhh wolvers.......heshima inapatikana sasa nilishawaambia kuwa mkitoboa mpaka game ya tar 3 january bhaaaaaaas na kwa kawaida ya bikra ikishatolewa tu unakuwa mtu wa kuachia watajipigia sana tu vijana hahahahaha maana si tundu lipo wazi
 
Leo ni must Win game Coz tukifungwa tutakuwa time his a babushka pressure kubwa kwenye tittle race.

Tukitoka sare itakuwa tumejiongezea mlimbikizo wa idadi ya games
kwahiyo wolvers wamewashikisha adbu au ukuta?
 
This is Liverpool! I can't wait weekend pale tutakapoenda kuuwa hivi vitoto brighton.

Epl yetu wakuu, Tusahau ndondo cup FA tuwaachie wazee wa midtable Man u, chelsea, arsenal.

Sisi EPl ni yetu bila kusahau na CL.
 
Tunaipongeza Wolves kwa kuifunga U-18 ambacho ni kikosi D chetu, Bila kusahau wachezaj watatu walkuwa na range ya miaka 16, 17 na 19. Hahah

Liverpool halisi subiri moto wake Weekend hii ndo mtaelewa.

kwahiyo wolvers wamewashikisha adbu au ukuta?
 
Tunaipongeza Wolves kwa kuifunga U-18 ambacho ni kikosi D chetu, Bila kusahau wachezaj watatu walkuwa na range ya miaka 16, 17 na 19. Hahah

Liverpool halisi subiri moto wake Weekend hii ndo mtaelewa.
Salah ni under 18? Lovren ni under 18? What a joke!!!!
 
nakuelewa mkuu hawa sio muda watakuachia timu yako ......maana kuna ushabiki na ushangiliaji...wewe ni shabiki nguli wa KOPS
Mkuu sasa kweli shabiki halali wa Liverpool bila aibu anaweza sema team yake CL OUT?
Hawa ni mashabiki maandazi tu!
Ni huyo huyo na kakundi kake mwaka jana walisema Liverpool out kwa Man City CL,LKN Man City akatoka!
Weeks zilizopita kakikundi hako hako ka hovyo kalisema Liverpool hawezi mzuia Napoli asiingie CL,Napoli akaenda nje!
Ni hao hao walio kuwa wanampamba Pep hapa kama hawezekaniki LKN sasa Pep wao anaombea team zingine zimsadie kushinda EPL!
Tena hawana aibu,tukimtoa Bayern wao ndiyo watakuwa wa kwanza kuisifu team waliyo idharau sana kabla!\
Klopp anawanyoosha hawa mamluki!
 
Umenyweshwa uji wa ndele na Klapp wewe!
 
RB Leipzig wafanye buy-back clause wachukue mchezaji wao. Juve wameshindwa
2019-01-09%2009.09.39.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaipongeza Wolves kwa kuifunga U-18 ambacho ni kikosi D chetu, Bila kusahau wachezaj watatu walkuwa na range ya miaka 16, 17 na 19. Hahah

Liverpool halisi subiri moto wake Weekend hii ndo mtaelewa.
kwahiyo fabinho,shakir,milner,mignolet, ni kikosi D?????? naweza kukubaliana na hilo lakini kusema kuwa wapo under 19 itabidi ukusanye familia yako uanze kuidanganya hivi sawa?hii ni game ya pili mfululizo munapoteza na msije mkakimbia hapa .....maana wengine washakula chochoro wanadai wapo vijijini hakuna network ila timu ikiwa vizuri network zinapanda 4g
 
Tunaipongeza Wolves kwa kuifunga U-18 ambacho ni kikosi D chetu, Bila kusahau wachezaj watatu walkuwa na range ya miaka 16, 17 na 19. Hahah

Liverpool halisi subiri moto wake Weekend hii ndo mtaelewa.
KUPATA VICHEKESHO KAMA HIVI TUMA NENO LOSERFOOLS KWENDA NAMBA 15888
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom