MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Trippier ndie anaongoza kwa Tackling pale White hart lane, ukiona Trippier anaenda kukaba ujue anaenda kuchukua mpira and the dude is good at dribling, holding on to the ball na ana piga Cross bora kuliko hata Azpilicueta. Superb Full back, watu hata wakatoa 90 gbp nadhani hawajapigwa
Lucas Leiva ni moja kati ya players wanaoongoza kwa tackles katika historia ya Club ya LFC
Doesnt mean shit my main man.....
TAA ni moja kati ya big chances creator at LFC, was the 2nd facilitator for our goal at the Etihad, Klopp plays him kwasababu hiyo,
Trippier is good at dead-balls so as TRENT, but he sucks going forward
hana chochote cha ziada ambacho Trent hana and this comes from a man (me) ambaye ham-rate Trent kihivyo.