Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wanaomsifia Jordan Henderson
18 EPL apps, 0 goal, 0 assists, 1 yellow and one red
Keita
14 EPL apps, 0 goal, 0 assists, 0 yellow and 0 red
Fabinho
12 EPL apps, 1 goal, 2 assists, 3 yellow and 0 red
Mimi nafikiri Fab angepewa hizo fursa nyingi zaidi angefanya zaidi na kuadapt pia ligi pamoja na falsafa ya kocha zaidi kuliko Henderson au Keita

Mkuu unawachokoza LIVERPOOL HALISI?

Usimzarau Liverpool Messi bhana aka New Frank Lampard
 
Klopp wants James Rodriguez ni January transfer window. Huyu baada ya kuwika WC ya 2014 nadhani anaishia kwani kacheza mara 8 tu na kufunga 3 bila assists yeyote. Arsenal walipoona dau kubwa (Zaidi ya paundi mil 60) waliishia mtini. Sasa Klopp sijui atamtumiaje huyu ambaye kama vile kachuja ila bei yake bado juu

Hivi Kulishawahi Kutokea Timu ikamtaka Henderson ata kwa £3m tu?

Kama kushawahi Kutokea Hata Tetesi tu za magazeti kuwa kuna timu iliwahi kumtaka Jordan Henderson japo kwa Mkopo! Haki ya Nani Nahama JF na ninajipiga Lifetime Ban

Yani Fabinho alikuja Liverpool ndani ya Miezi miwili tu Mitetesi kibao kuwa PSG wanamtaka 😀😀
 
hapa tuna nafasi ya kusajili hivyo Klopp asije leta maneno ooh tunapoteza cz fulani na fulani hawapo..

mtihani uliopo mbele yetu kwa Janauri na Febu ni hataree

By Klopp alipoulizwa kama ata-reassess January transfer plan

“The only country that asks a question like this is England. Everything is sorted with buying players,” he said after his side’s defeat at Molineux.

“We have four centre-halves. Three, maybe, two-and-a-half are injured so we’ll have to try and come through in the moment.

“We need them back but you cannot buy a fifth centre-half and say ‘so you play two weeks and after that the others come in’”.

Let's hope ... still the race is ours
 
Liverpool hawana bahati
Baada ya 1990 ni Steve Gerard na Luiz Suarez tu ndio wachezaji waliokuwa na uwezo wa kubadili matokeo
Luiz alipoona hapo atakesha bila vikombe akatikia Barca yeye Gerrad akamua kufia timu
Na hii timu yao watabaki na VVD wengine watatimkia kwingine wanakoweza kubeba makombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi game 2 zimesababisha baadhi ya watu kukata tamaa naona.

Mimi bado ninaamini EPL is within reach, kama kocha hatapanic, Man City ambaye ni close rival tumeona naye anafungika, so muhimu ni kucheza bila kuangalia yeye ana fanya nini.

Tuna kikosi bora, ambacho kinaweza kusurvive EPL, Gomez na Matip watakuwa available soon. Pray for no injuries to VVD, Salah, Mane, Bobby, Allison, Fabinho, Robbo, Gini, Keita, TAA, Shaqir and Milner.

EPL is ours to lose, iff we don't play mid of Hendo, Gini and Milner in any single match.

Don't forget Ox

Too early kukata tamaa

Point 4 umbali ni sawa na 2 games

Mentality ya wachezaji ikiwa vizuri siioni game ya kupoteza kwenye games 5 zijazo
 
Liverpool hawana bahati
Baada ya 1990 ni Steve Gerard na Luiz Suarez tu ndio wachezaji waliokuwa na uwezo wa kubadili matokeo
Luiz alipoona hapo atakesha bila vikombe akatikia Barca yeye Gerrad akamua kufia timu

Mkuu siokwamba Hatuna bahati!!

Kusema la ukweli Liverpool tunaipenda lakini sote tunajua wazi kuwa Liverpool ni Mabingwa wa Ubaguzi (Racist) kwa sisi tusiokuwa Washabiki wa Kiengereza.

Kwahiyo ukitowa wale Scousers (Fans kutoka ndani ya Mji wa Liverpool) tuliobakia sote kutoka Afrika na Asia tunaonekana ni Manyani na hatuna haki ya Kuipenda timu!
Haya ninayoyazungumza ninaushahidi nayo kwasababu Mimi Kila Siku ninacomment Echo, na kwenye Official Liverpool's pages za Twitter, FB na Instagram.
Kwahiyo baada ya kutuita Mashabiki basi wanatuita Africans au Asians.

Sasa hawa Scousers ndiyo wenye last say kwa Timu kwasababu wao ndiyo wanaoingia uwanjani kuishangilia timu.

Kwahiyo Wao Wakishakuwa Kuna Wachezaji wao Wanaowapenda tu uwanjani, basi wanaridhika na timu na hawajali kuwa kuna kubeba Makombe au la!

Na ndiyomana tokea baada ya 1990 tumeishia kusign Shit players lakini Scousers wamepiga kimya kuhusu Makombe coz wachezaji wao ndiyo wanaoichezea Liverpool.

Na ndiyomana Scousers Wanarizika timu iwe na Lovren, Solanke, Mignolet, Henderson, Milner hata kama tutakaa miaka 100 bila ya Kombe.

Hebu Fikiria ni sisi washabiki Wa Kiafrika pekee ndiyo tuliopiga kelele kuwa Fabinho achezeshwe huki Scousers wakitupinga wakisema Kuna Wachezaji wametufikisha Fainali ya CL wasiekwe Bench.
 
Keita ni mfano wa Isco mzee baba hajatumika tu tuangalie na aina ya makocha wetu pia tunaweza tamani wachezaji wasio tumika atakuja Fekir apo utaambiwa hajafit mfumo bado Hendo anaendelea kuonhoza jahazi.

Naamini kama sio mashabiki basi Fabinho mpaka kesho angekua benchi

Upo sawa brother! Kama sio sisi Mashabiki kulialia Kwenye Mitandao basi mpaka Leo Fabinho angelikuwa anasota Benchi na tungeendelea kuaminishwa kuwa bado Anajifunza hajaadapt.
 
Going into this season, nilikuwa nawaza zaidi kuhusu Cups as nilihisi hatutakuwa na chance against a complete Pep's team, but if anything, the last 5 months zimeonesha kuwa tuna nafasi nzuri sana kwenye EPL because Pep ana-struggle ku-retain the title huku akiwa na bahati mbaya ya injuries kwa key players especially De bruyne

now, we should take a huge risk and concetrate fully kwenye EPL and CL (QF or Semi exist will be fine for me), we need to throw everything kwenye league, we need this trophy more than anything and honestly hakuba wakati mzuri wa kulipigania kama sasa, City will have more games between now and March, and sisi tutakuwa na a lot of break periods mpaka May, thus inapunguza hatari ya injuries kwa our Key players, i believe kama Allison/VVD/Gomez (akirudi)/Robertson/Fabinho/Gini/Mane/Salah/Firmino/Shaqiri/Keita hawatopata majeraha yeyote yale makubwa in the long run, we will win the league

Klopp would've welcomed the idea of winning the FA cup pia, but he knows for a fact kuwa hana kikosi imara cha kustahimili mikiki ya 3 different competitions at once.

i'd say we have a huge chance of winning the league this year kuliko kipindi chochote kile cha huko nyuma, we have a World Class Keeper, World Class CB, Top class LB, Top class CDM ambaye amekuwa introduced katika muda muafaka, World class front 3 and kizuri zaidi ni kwamba Firmino anarudi kwenye form katika kipindi kizuri sana, and most of all our most talented player in the squad (Keita) bado anajaribu kusettle in his new role (LM), OX will be back in Feb, we have Shaqiri, top class player.

i'd like us to add some good players this january, but if it means we will get Werner in the summer then i cant complain, and having remained in two competitions inanipa matumaini ya kuwa hakutakuwa na majeraha ya mara kwa mara kwenye squad as games zitakuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa.
 
Our 18-man squad ina quality players wasiozidi hata kumi

unahitaji hawa quality players kuibeba squad nzima..

you cant expect players like Henderson and Lallana to give you good results against teams kama Everton/Utd etc away from home..

2 competitions are enough kulingana na ubora wa squad yetu
 
Kwahiyo Firmino aekwe benchi achezeshwe Origi?

Origi ndio natural striker , Firmino arudi kwenye washambuliaji wasaidizi huko. Unamtetea jamaa sasa sijui kama unajua kuwa performing Striker anatakiwa kufunga goli za ligi zisizopungua 20 kila msimu
 
Kwa io unataka origi acheze af firmino akae bench? una mawazo ya ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app


Firmino ni natural center forward kwa mawazo yako?

Striker anatakiwa kuwa anafunga goli 20 na zaidi za ligi kila msimu sasa Firmino msimu wake bora kuliko yote kafunga goli 15.

Halafu sikusema Firmino akae benchi, Firmino acheze kiungo (wanaitwa washambuliaji wasaidizi i.e RCM au LCM). Ni ujuha kumweka Benchi mtu mwenye kiwango kama Firmino na niko mbali kuwa na mawazo kama hayo
 
SELL (in the summer);
Lallana/Henderson/Milner/Mignolet/Lovren/Markovic/Sturridge/Moreno

LOAN;
Lewis/Curtis Jones/Camacho/Adekanye/Masterson/Larouci

KEEP;
Clyne/Grujic/Origi(if he will agree to be a 3rd choice ST)

PROMOTE;
Hoever/Brewster/Wilson

BUY;
Back up keeper/Pavard (Or any new defender)/LW/Werner
 
Ok boss lets see the coming consequencies za kumuacha Clyne kwa mkopo.Still huyo TAA bado mi simhesabu kuwa beki mzuri.Kabla ya huyo beki wa kisasa hajasifiwa kwa kutoa assists au kufunga inabidi tuanze kwanza kumsifia anavyoblock mashambulizi.Mbona Robo anashambulia pia but defending well upande wake na hatupigi kelele.Kimpimacho beki ni kulinda kwanza hayo mengine ya sijui modern na old ni masiasa tu kwenye mpira.Ukishindwa kulinda ukajua tu kushambulia unabakiaje beki sasa?

Bottom line ni Clyne bi beki mzuri kumuacha aondoke kwa mkopo ni makosa

Wellsaid mkuu, upo kama mimi huyo dogo katucost sana ule upande. Na tatizo lipo kuwa huwa anajitahidi muda fulani anapatia kweli linapokuja suala la kudefend na muda mwingine dogo Upande wake unakuwa tatizo kwa kuruhusu/favor mashambulizi.

Angaliaga right wingers wa timu pinzani wanavyokwaaga kisiki kwenye upande wa Robertson
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom