MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Wellsaid mkuu, upo kama mimi huyo dogo katucost sana ule upande. Na tatizo lipo kuwa huwa anajitahidi muda fulani anapatia kweli linapokuja suala la kudefend na muda mwingine dogo Upande wake unakuwa tatizo kwa kuruhusu/favor mashambulizi.
Angaliaga right wingers wa timu pinzani wanavyokwaaga kisiki kwenye upande wa Robertson
Robertson can be viewed as the best LB in the league right now
but to be fair, he's not that good defensively, he has VVD upande wake,
amekuwa na bahati nzuri sana in his last 3-4 games kwenye suala la ku-vacate his position as VVD is always there to cover his arse, TAA been shit this season (offensively and defensively) but kwenye upande wa defense upande wa kulia yupo na Lovren, and its evident kuwa TAA amekuwa m-bovu zaidi baada ya Gomez kuumia, as Lovren cant even time his runs akienda kushambulia.