Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndiyo maana tunalalamika wauzwe hao wachezaji...dunia ya sasa ili ushindane in all fronts unatakiwa uwe na kikosi kipana kama au zaidi ya Man City.
We need at least five established players kwenye window kubwa.
TUKUMBUKE PIA KUA NA KIKOSI KIPANA CHENYE URINGANO NI GHALAMA TENA KUBWA
 
We have trent,gomez,fabinho,milner na camacho/hoever. Hao wote wanacheza namba mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Trent hana consistency.Anahitaji challenge...Kuna game nyingi anapotea na umuhimu anaoubakiza unakuwa ni uscouser wake tu basi.

Gomez anatengeneza partnership nzuri sana na VVD pale kati.Kumrudisha namba 2 utakuwa mwendelezo wa makosa.

Fabinho ni natural central defending midfielder na amenunuliwa kwa kazi hiyo.Kumpeleka namba mbili ni matumizi mabaya ya talent ya mchezaji.Ni sawa na kipindi kile Lucas ambaye ni natural no 6 anacheza kama beki wa kati na Kolo Toure.Kumchezesha Fabi tofauti na namba sita ni makosa kwakuwa hatuna namba sita mzuri zaidi yake.....na hii ni kwenye mfumo wowote ule.

Milner namba mbili kwake "ni just by the way". Sasa sijui kwa nini uanze kumpa mtu majukumu ya by the way wakati wahusika wa hapo mahala bila huo " u by the way" unawatoa kwa mkopo meaning hawana umuhimu?Uwezo wa Milner kukava namba tofauti usikufanye ukawaona naturals wa hizo namba ni takataka.

Huyo Camacho bado sana kiuwezo.Hatakiwi hata kuwa 4th choice RB wa timu inayohitaji mafanikio ya mataji.Unless tunachezacheza kufurahishana tu bila mpango wa mataji basi yoyote acheze popote.Hata Alisson since anaweza kupiga chenga na kugeuza basi tuchezeshe namba tisa tumfurahishe!

Bottom line ni Clyne hakupaswa kutolewa kwa mkopo kwa sasa.Kwa kiwango cha TAA na jinsi Clyne alivyokuwa anaanza kuja baada ya majeruhi ni dhahiri alikuwa anaenda kuchukua namba yake kutoka kwa inconsistent scouser.
 
Mkuu uzembe wa mchezaji unaweza sababishwa na kocha mwenyewe mfano mzuri nyie.

Origi amecheza dakika 5 tu katika mechi 20 za ligi hivi mtu kama huyu anamatuamini gani na tim?

Nlicho kiona kwa Sturrege siamini kabisa kama kile ni kiwango chake bali aliamua tu achezw ajisikiavyo.

Tukisema hatuna wachezaji bado sio jibu maana pre sison tuliwaona walivyo kuwa wachangamfu na tukashinda mechi kadhaa.
Wachezaji hawawezi kulingana viwango kwenye tim 1 hata mishahara yao ila haimaanishi hawa bechi hawafai kabisa bali nikupewa moyo ili waongeze juhudi
Tumeona Asenal akishinda na wachezaji wa bench

Kloop anamatatizo kwa wachezaji tusubilini tu yatakuja tokea

Mimi sikubaliani na kipimo cha Mchezaji kwa Kuperform kwenye Preseason!
Ninazoreasons zangu za kubackup ninachokisema!
Naweza kufuta kauli yangu iwapo tu mtu ataleta Facts zitakazocancel reasons zangu.

Reasons:
• Takriban Wachezaji wote wa timu 32 walioshiriki kwenye kwenye World Cup basi kwa 80% walichelewa kujiunga na timu zao kwenye Preseason! Kwahiyo timu nyingi kwenye Preseason hazikuwa na Wachezaji wa First XI Bali zilichukuwa Rundo la Wachezaji wa Hakina na Academies.

So, Kwahapo usishangae Kuwaona Kina Sturridge, Origi, Camacho, Moreno kuwa Kama Messi kwenye Preseason kwa timu wanazocheza nazo.

• Na jengine zaidi hata wale wachezaji wa Kikosi cha kwanza wanapochukuliwa basi hawatumiwi kwa kila Mechi na Mechi wanazoanza si maranyingi kumaliza dakika 90.
Na ndiyomana kwenye Preseason tulimpiga Napoli 5, na last season tulimpiga Barcelona 4 ..
Hivi unadhani Barcelona kwenye CL tutamfunge 4?
Nadhani umeuona mziki wa Napoli tulipokutana Naye kwenye CL!!!

Kwahiyo Mchezaji kutakata kwenye Preseason anakocheza na watoto wa Academy usifikiri atakuja kutakata mbele ya Fernandinho au Pogba.
 
Trent hana consistency.Anahitaji challenge...Kuna game nyingi anapotea na umuhimu anaoubakiza unakuwa ni uscouser wake tu basi.

Gomez anatengeneza partnership nzuri sana na VVD pale kati.Kumrudisha namba 2 utakuwa mwendelezo wa makosa.

Fabinho ni natural central defending midfielder na amenunuliwa kwa kazi hiyo.Kumpeleka namba mbili ni matumizi mabaya ya talent ya mchezaji.Ni sawa na kipindi kile Lucas ambaye ni natural no 6 anacheza kama beki wa kati na Kolo Toure.Kumchezesha Fabi tofauti na namba sita ni makosa kwakuwa hatuna namba sita mzuri zaidi yake.....na hii ni kwenye mfumo wowote ule.

Milner namba mbili kwake "ni just by the way". Sasa sijui kwa nini uanze kumpa mtu majukumu ya by the way wakati wahusika wa hapo mahala bila huo " u by the way" unawatoa kwa mkopo meaning hawana umuhimu?Uwezo wa Milner kukava namba tofauti usikufanye ukawaona naturals wa hizo namba ni takataka.

Huyo Camacho bado sana kiuwezo.Hatakiwi hata kuwa 4th choice RB wa timu inayohitaji mafanikio ya mataji.Unless tunachezacheza kufurahishana tu bila mpango wa mataji basi yoyote acheze popote.Hata Alisson since anaweza kupiga chenga na kugeuza basi tuchezeshe namba tisa tumfurahishe!

Bottom line ni Clyne hakupaswa kutolewa kwa mkopo kwa sasa.Kwa kiwango cha TAA na jinsi Clyne alivyokuwa anaanza kuja baada ya majeruhi ni dhahiri alikuwa anaenda kuchukua namba yake kutoka kwa inconsistent scouser.
Clyne ni bang average player. Ni fullback wa kizamani unaweza kusema hivo. Hana msaada wowote going foward. Ukiangalia msimu aliocheza almost mechi zote ali offer not more than 5 assist msimu mzima. Na kwa mpira wa asaivi fullback wa hivo haitajiki.

Fabinho natural position yake ilikua ni fullback kaja kubadilishwa na kocha wa monaco na still brazil anacheza kama namba mbili.

Finally, saying TAA ha perform na anabebwa na yeye kua scouser is not true. Japo hua ana off days zake just like any other player ila overall the kid is doing well.

So kumuacha clyne bench na siku nyingine hata matchday squad hayupo ni kum under utilise tu na kuongeza bill ya mshahara so its better aende tu huko bournmouth na abaki huko huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok boss lets see the coming consequencies za kumuacha Clyne kwa mkopo.Still huyo TAA bado mi simhesabu kuwa beki mzuri.Kabla ya huyo beki wa kisasa hajasifiwa kwa kutoa assists au kufunga inabidi tuanze kwanza kumsifia anavyoblock mashambulizi.Mbona Robo anashambulia pia but defending well upande wake na hatupigi kelele.Kimpimacho beki ni kulinda kwanza hayo mengine ya sijui modern na old ni masiasa tu kwenye mpira.Ukishindwa kulinda ukajua tu kushambulia unabakiaje beki sasa?

Bottom line ni Clyne bi beki mzuri kumuacha aondoke kwa mkopo ni makosa
 
Clyne ni bang average player. Ni fullback wa kizamani unaweza kusema hivo. Hana msaada wowote going foward. Ukiangalia msimu aliocheza almost mechi zote ali offer not more than 5 assist msimu mzima. Na kwa mpira wa asaivi fullback wa hivo haitajiki.

Fabinho natural position yake ilikua ni fullback kaja kubadilishwa na kocha wa monaco na still brazil anacheza kama namba mbili.

Finally, saying TAA ha perform na anabebwa na yeye kua scouser is not true. Japo hua ana off days zake just like any other player ila overall the kid is doing well.

So kumuacha clyne bench na siku nyingine hata matchday squad hayupo ni kum under utilise tu na kuongeza bill ya mshahara so its better aende tu huko bournmouth na abaki huko huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

You are right 100%
 
Iwapo kila Msimu tukichungulia tu Carabao na FA haws Kina Cutes Jones, Camacho, Ki-Jana, Wilson, Grujic wapate uzoefu wa kucheza Seneor team wapi??

Kwasababu hawa huwezi ukawatumia directly kwenye Champion League isipokuwa unawachanganya na FXI ili kupaya uzoefu.
Yani umelenga sikitiko langu mbona vijana walionyesha uwezo wenye kuleta tumaini mwanzo wa msimu iweje wavurugwe badala ya kuunganishwa
 
Ubora wa timu
Ubora wa wachezaji
Ubora wa Kocha
Unapimwa na Mataji tu sio kitu kingine zaidi ya Ngonjera tu
Liverpool tunahitaji Trophy iwe ya FA cup ,Carabao, EPL tunataka Trophy over.
Na tukikosa hata Trophy moja nitaamini sasa Liverpool tunaongozwa Manager FAILURE ambaye hana Ambition yoyote.
 
Trent hana consistency.Anahitaji challenge...Kuna game nyingi anapotea na umuhimu anaoubakiza unakuwa ni uscouser wake tu basi.

Gomez anatengeneza partnership nzuri sana na VVD pale kati.Kumrudisha namba 2 utakuwa mwendelezo wa makosa.

Fabinho ni natural central defending midfielder na amenunuliwa kwa kazi hiyo.Kumpeleka namba mbili ni matumizi mabaya ya talent ya mchezaji.Ni sawa na kipindi kile Lucas ambaye ni natural no 6 anacheza kama beki wa kati na Kolo Toure.Kumchezesha Fabi tofauti na namba sita ni makosa kwakuwa hatuna namba sita mzuri zaidi yake.....na hii ni kwenye mfumo wowote ule.

Milner namba mbili kwake "ni just by the way". Sasa sijui kwa nini uanze kumpa mtu majukumu ya by the way wakati wahusika wa hapo mahala bila huo " u by the way" unawatoa kwa mkopo meaning hawana umuhimu?Uwezo wa Milner kukava namba tofauti usikufanye ukawaona naturals wa hizo namba ni takataka.

Huyo Camacho bado sana kiuwezo.Hatakiwi hata kuwa 4th choice RB wa timu inayohitaji mafanikio ya mataji.Unless tunachezacheza kufurahishana tu bila mpango wa mataji basi yoyote acheze popote.Hata Alisson since anaweza kupiga chenga na kugeuza basi tuchezeshe namba tisa tumfurahishe!

Bottom line ni Clyne hakupaswa kutolewa kwa mkopo kwa sasa.Kwa kiwango cha TAA na jinsi Clyne alivyokuwa anaanza kuja baada ya majeruhi ni dhahiri alikuwa anaenda kuchukua namba yake kutoka kwa inconsistent scouser.
sahihi kabisaaaaaaaaaa
 
Kwahiyo Firmino aekwe benchi achezeshwe Origi?
Hili haliwezakani ila kwa makocha wanaomini katika mbinu za kiufundi mtu kama Origi anapata muda wa kucheza walao dakika 30 katika mechi dhaifu au zenye ushindi mzuri wa mapema hii inasaidia kumpa moyo mchezaji mdogo kupanda
 
Ok boss lets see the coming consequencies za kumuacha Clyne kwa mkopo.Still huyo TAA bado mi simhesabu kuwa beki mzuri.Kabla ya huyo beki wa kisasa hajasifiwa kwa kutoa assists au kufunga inabidi tuanze kwanza kumsifia anavyoblock mashambulizi.Mbona Robo anashambulia pia but defending well upande wake na hatupigi kelele.Kimpimacho beki ni kulinda kwanza hayo mengine ya sijui modern na old ni masiasa tu kwenye mpira.Ukishindwa kulinga ukajua tu kushambulia unabakiaje beki sasa?

Bottom line ni Clyne bi beki mzuri kumuacha aondoke kwa mkopo ni makosa

Mimi sikuwaza kuwa Clyne atauzwa hii January coz nilimuhesabu kama ni Backup! Lakini pia sihuzuniki Kuuzwa kwake!

Kwani ninachoamini Mimi Mchezaji aliyeichezea Liverpool miaka 5 na yuko vilevile hajaboreka hawezi kuboreka kwa Miezi 5

Ninachowaza Mimi ni going forward na sio kurudi nyuma au kwenda mbele.

Kwahiyo kuanzia Mignolet, Moreno, Clyne, Henderson, Lovren, Lallana Origi na Strridge hawa ni kwamba Wameshindwa Kudeliver kwahiyo tunahitaji New face ili waje kupambana.

Kwahiyo tukisema tuendelee Kuwa na hawa manayake hatupo kwenye 2019 Bali tumerudi nyuma tupo palepale 2014 alipotuacha Rodgers.

Sasa baada ya kusaini Modern and talented Right Back m, badala Yake tunalialia kuwa Achezeshwe Clyne basi hapo maiasha tutabaki tulipo na hatuna tutakapoenda.

Ukiondosh TAA manayake ingiza kilichobora! Sio unaondosha TAA na badalayake Clyne hapo itakuwa unafanya nini?
 
Mimi sikubaliani na kipimo cha Mchezaji kwa Kuperform kwenye Preseason!
Ninazoreasons zangu za kubackup ninachokisema!
Naweza kufuta kauli yangu iwapo tu mtu ataleta Facts zitakazocancel reasons zangu.

Reasons:
• Takriban Wachezaji wote wa timu 32 walioshiriki kwenye kwenye World Cup basi kwa 80% walichelewa kujiunga na timu zao kwenye Preseason! Kwahiyo timu nyingi kwenye Preseason hazikuwa na Wachezaji wa First XI Bali zilichukuwa Rundo la Wachezaji wa Hakina na Academies.

So, Kwahapo usishangae Kuwaona Kina Sturridge, Origi, Camacho, Moreno kuwa Kama Messi kwenye Preseason kwa timu wanazocheza nazo.

• Na jengine zaidi hata wale wachezaji wa Kikosi cha kwanza wanapochukuliwa basi hawatumiwi kwa kila Mechi na Mechi wanazoanza si maranyingi kumaliza dakika 90.
Na ndiyomana kwenye Preseason tulimpiga Napoli 5, na last season tulimpiga Barcelona 4 ..
Hivi unadhani Barcelona kwenye CL tutamfunge 4?
Nadhani umeuona mziki wa Napoli tulipokutana Naye kwenye CL!!!

Kwahiyo Mchezaji kutakata kwenye Preseason anakocheza na watoto wa Academy usifikiri atakuja kutakata mbele ya Fernandinho au Pogba.
Upo sahihi nilimaanisha walionyesha muelekeo mzuri waunganishwe na kupewa walau dakika 10 kwenye mechi za kawaida ingesaidia sana kwenye mashindano haya.
 
Ubora wa timu
Ubora wa wachezaji
Ubora wa Kocha
Unapimwa na Mataji tu sio kitu kingine zaidi ya Ngonjera tu
Liverpool tunahitaji Trophy iwe ya FA cup ,Carabao, EPL tunataka Trophy over.
Na tukikosa hata Trophy moja nitaamini sasa Liverpool tunaongozwa Manager FAILURE ambaye hana Ambition yoyote.
Lakini mkuu nyie ci mutachukua EPL na UEFA..!!

Au na ago pia ni Mickey mouse cup mkuu.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In th meantime,

Gonaz wonna sign Rodrigz from Bayern,

Manshit wonna sign Dybala from Juvetus,

Manure wonna sign Coutino from Barcelona,

Chelsea after Berela from Calgari

Liverpool where are weeeeeee guys, we need a defender Vanholt n Bensaka from Crystal can be gone additions...or more so a creative midfielder like Isco
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom