Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sure tena tunahitaj hii FA Cup sana, atleast tuwe na makombe 2 msimu huu
kheeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeee kheeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeee munaitaka FA cup eti!!!!!!!!!!
 
Timu ngumu hamjaifunga hata moja chelsea kakutoa karabao na ulinusurika kupigwa kwake shukran kwa sturidge haya city kachukua point 4 kwako

Mlidanganywa na vimech vya man united na arsenal wazaifu

Ukija uefa hujashinda hata mech moja ugenini hata red star umeshindwa kumfunga mmewahi kujiuliza?

Huyo wolves mgumu sana kishakutanguliza

Kazi kulaum kocha tu
hao jamaa ni vipofu ndio maana wamepewa jina lao humu hahahahah yaani timu ipo hovyo wanaioverrate sana ikipata matokeo mazuri kimyaaaaaaaaa wakifungwa lawama kwa kocha na hendo hahahahah sasa kichapo kimewahusu na kafabinho chao kipo ndani dadadeki Mungu fundi sanaaaaaaaaaaaaaa kheeeeeeee kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeee kheeeeee
 
hao jamaa ni vipofu ndio maana wamepewa jina lao humu hahahahah yaani timu ipo hovyo wanaioverrate sana ikipata matokeo mazuri kimyaaaaaaaaa wakifungwa lawama kwa kocha na hendo hahahahah sasa kichapo kimewahusu na kafabinho chao kipo ndani dadadeki Mungu fundi sanaaaaaaaaaaaaaa kheeeeeeee kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeee kheeeeee
jamaa wanachekesha sana
 
Wewe na kakundi kako hapa mmeisha puuzwa!
Tusikuione tena hapa ww na wenzako kuja kushangilia team ikishinda!


Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahaaaaaaaaaaaaa timu ikishinda kimyaaaaaaaa ikipoteza lawama kwa klopp,hendo,lovren sasa leo Mungu kawaumbua le capitain hayupo na lovren hayupo wamewekewa fabinho wao hawana pa kushika wanakukimbilia wewe mKOPS HALISI kabisa hahahahahaha wazoee mzeiyaaaaaaaa
 
Ndiyo hao ni inexistent group ambao hujiita the so called Liverpool Halisi.

Wana Misingi yao wanayosimamia Katia Soccer! Wao hawahitaji Facts katika chochote Bali ni Mihemko tu.

Miongoni mwa rules zao za kuqualify kuwa Liverpool Halisi ni:

1) Front three wetu (Salah, Mane na Firmino) wanaweza kucheza timu yoyote duniani!
Kwahiyo iwapo watakwenda Barcelona wanauhakika kuwa MESSI-SUAREZ-DEMBELE watakosa namba mbele ya Front three wetu.


2) Wanaamini Kuwa Mido yetu ya GINI-HENDO-MILNER ni bora kuliko Mido ya RAKITIC-BUSQ-ARTHUR/VIDAL that is why tukishinda game yoyote kiongozi wao anakuja na mpasho wake kuhusu wachezaji wetu vs wachezaji wa Barcelona.

3) Wanaamini kuwa Salah ni bora Kuliko Hazard

4) Wanaamini kuwa Klopp ni bora kuliko PEP

5) Wanaamini kuwa Hendo ni World Class player anayeweza kucheza timu yoyote hole duniani! Kwahiyo akija Chelsea Kante ajiandae kusota Bench.

6) Kombe tunalotewa Wanaamini ni Kombe la Kipumbavu.

7) Wanaamini Liverpool ina kikosi bora duniani kwasasa kuliko timu yoyote hile.

8) Wanaamini Guardiola anabahatisha tu lakini Hamna kitu.

9) Wanaamini Lovren ni Best Centre Back in the world, Kwahiyo akienda Real basi Ramos ajiandae Kuwarm bench

10) Wanaamini unapomkosoa Klopp manake wewe huipendi timu na hujui chochote kwenye soka.

Sasa ukishakuwa na mitazamo hiyo kwao wanakuona wewe ndiye LIVERPOOL HALISI.
aiseh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom