Jiulize katika miaka 30 iliyopita Bayern, Madrid, Barcelona and the likes wameshinda makombe mangapi alafu na ww ujilinganishe umechukua mangapi?
Je una mchezaji wa kushindana na Modric au Casemiro au Macello, au Varane au Bale ku-earn first spot in the first team? Tena angalau sasa hivi una wachezaji watatu wanaweza kufanya hivyo ila kwa miaka 30 mmekuwa wabovu sana.
Sasa ngoja mtoke kapa EPL na CL nione kama Salah huyu ambaye FA ya kwao inataka aende Madrid kama mtaweza kumkeep
Sent using
Jamii Forums mobile app