AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Subiri Weekend utaelewa ipi ilikuwa target ya Klopp. Liverpool tungeamua basi hakuna kombe ambalo tungeacha kubeba mwaka huu, sema ni suala la kuweka kipaumbele.
Kipaumbele chetu ni EPL na CL, Tumedhamiria kubeba hivyo vikombe kwa mwaka huu, Sasa subirin majibu kwa kile atakachofanywa Brighton na viteam vyote vilivyibakia.
Nakuhakikishia tena, hakuna mechi tutakayopoteza safari hii, Lengo letu la kubeba ubingwa kwa points zaidi 100, liko pale pale.

kwahiyo fabinho,shakir,milner,mignolet, ni kikosi D?????? naweza kukubaliana na hilo lakini kusema kuwa wapo under 19 itabidi ukusanye familia yako uanze kuidanganya hivi sawa?hii ni game ya pili mfululizo munapoteza na msije mkakimbia hapa .....maana wengine washakula chochoro wanadai wapo vijijini hakuna network ila timu ikiwa vizuri network zinapanda 4g