radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Nashukur sijawah kukosea kwenye huo ugonjwaugonjwa wako wa kubashili umekurudia
Nashukur sijawah kukosea kwenye huo ugonjwaugonjwa wako wa kubashili umekurudia
Umezoa ubishi timu haina backup wachezaji ni walewale kila cup kwa nini msipoteze mwishoninonsense!
Mnaenda kutoa sare we unadhani ulivyofufuka kwa kina cardiff na nduguze ni Kwa wenye wako ktk title raceNashukur sijawah kukosea kwenye huo ugonjwa
Akili kisoda wewe wapi tumezungumzia mbio za ubingwa au ushakunywa mkojo wa punda?Mnaenda kutoa sare we unadhani ulivyofufuka kwa kina cardiff na nduguze ni Kwa wenye wako ktk title race
Na sturege je au mwenye afadhali nani apo?Origi majanga
Hamna kitu kabisaJamani huyu Mignolet kipa kweli huyu??????????
kwani striker?Jamani huyu Mignolet kipa kweli huyu??????????
Tatizo huyu kocho hawapi wachezaji uzoefu hata tushinde 4 ataingiza hao hao anao waamini majanga yake ndo hayaWolves timu ngumu sana pia mashindano ni mengi lazima rotation
Na sturege je au mwenye afadhali nani apo?
Jamani huyu Mignolet kipa kweli huyu??????????
Ha ha ha haaa nikajua nna makengezaStirridge leo hata sijui kama yumo uwanjani
Hamnaga kipa apo.. Bora yule aliyedaka vs Man u kwenye pre season i think ndo yuko bench sa hivi(If am not mistaken)Jamani huyu Mignolet kipa kweli huyu??????????
Kama uelew rudia ukishindwa uliza si kuporomosha maneno mabayaAkili kisoda wewe wapi tumezungumzia mbio za ubingwa au ushakunywa mkojo wa punda?
2-¹Oriigi kafunga goli kali sana
Wapi tumezungumzia title race wewe?Kama uelew rudia ukishindwa uliza si kuporomosha maneno mabaya