Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liva wao game EPL ni kulitwanga mbele tuu wanajua salah na mane wapo watakimbilia yaan hamna mpira wa maana ndio maana hao wakiwa hawapo ni kesi kazi inakuwepo..ila napenda liva achukue EPL koz siipendi kabisa CTY na pep na wao ndio wako vzur kumchalenji
 
Capture.PNG
 
disappointed. very.
massive opportunity for silverware gone.
now we must win the EPL/UCL, or else...
 
Looserfool wana laana hawatakaa washinde kikombe chochote mpaka miaka 40 ipite
 
Carabao Out
FA Out
Next CL out

Haya msukule ninaukaribisha uje uniambie sijui kitu

Wewe na kakundi kako hapa mmeisha puuzwa!
Tusikuione tena hapa ww na wenzako kuja kushangilia team ikishinda!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom