Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tulisema carabao ni kombe la kipuuzi.Sasa tunasema carabao na FA ni vikombe vya kipuuzi.Inaonekana baadaye tutasema carabao,FA na UCL ni upuuzi tu,heshima ipo premier.Halafu baadaye zaidi tutasema mwaka huu haukuwa wetu mradi tupo top four tuna vikombe vinne vya kushindania mwakani.

Hatuna strong team kihivyo.Bado tupo stage ya kutegemea zaid morale ya timu na bahati.Hatujafika level ya city wanaoweza kulazimisha wanachokitaka na kukipata kutokana ba ubora wao.Bado kuna gap kubwa sana la kiuwezo kati ya Alisson na Mignolet.Gap kubwa sana kati ya TAA(ingawa simkubali) na Camacho.Tofauti kubwa kati ya VVD na yoyote atakayecheza namba yake.Gomez halingani na Lovren...at least Matip na Gomez wanalinganishika.Front three ndo hakuna kabisa mbadala wa Mane,Firmino na Salah...I mean hao akiba Sturridge na Origi ni average sana na sijui kwa nini hawajaachwa na kutafuta watu wanaoweza kuwachallenge akina Mane.Sheyi Ojo sijui kwa nini alikopeshwa.

Kwenye midfield hatupo vibaya tuna wachezaji wazuri sana lakini Klopp hajaweza bado kuexploit the maximum potential ya tulichonacho

Baada ya kumaliza Vikombe kuviita ni vya kipumbavu! Mwishowake wote utakuja kuitwa Mpira kuwa ni Mchezo wa Kipumbavu.

Ukweli usiofichika ni Kuwa Hatujatolewa FA na Carabao kwasababu ni Makombe ya kipumbavu, Bali tumetolewa kwasababu timu yetu ina wachezaji Wabovu na Wazembe.
 
Baada ya kumaliza Vikombe kuviita ni vya kipumbavu! Mwishowake wote utakuha kuitwa Mpira kuwa ni Mchezo wa Kipumbavu.

Ukweli usiofichika ni Kuwa Hatujatolewa FA na Carabao kwasababu ni Makombe ya kipumbavu, Bali tumetolewa kwasababu timu yetu ina wachezaji Wabovu na Wazembe.
aafu unakuta eti Moreno na Mignolet wanalalamika kutopangwa EPL seriously we can never win anything wt Moreno, Mignolet n.k....

Klopp should be careful now maana amebaki na vikombe viwili tu EPL na UCL hii dharau zake za kijeremani atajikuta wachezaji wote wa maana wanamkimbia maana they are here to win trophies n make history....

Pep was right mature players are more greedy and hungry win trophies.
 
Nani tena huyo? lazima watakuwa ni Liverpool halisi

Ndiyo hao ni inexistent group ambao hujiita the so called Liverpool Halisi.

Wana Misingi yao wanayosimamia Katia Soccer! Wao hawahitaji Facts katika chochote Bali ni Mihemko tu.

Miongoni mwa rules zao za kuqualify kuwa Liverpool Halisi ni:

1) Front three wetu (Salah, Mane na Firmino) wanaweza kucheza timu yoyote duniani!
Kwahiyo iwapo watakwenda Barcelona wanauhakika kuwa MESSI-SUAREZ-DEMBELE watakosa namba mbele ya Front three wetu.

2) Wanaamini Kuwa Mido yetu ya GINI-HENDO-MILNER ni bora kuliko Mido ya RAKITIC-BUSQ-ARTHUR/VIDAL that is why tukishinda game yoyote kiongozi wao anakuja na mpasho wake kuhusu wachezaji wetu vs wachezaji wa Barcelona.

3) Wanaamini kuwa Salah ni bora Kuliko Hazard

4) Wanaamini kuwa Klopp ni bora kuliko PEP

5) Wanaamini kuwa Hendo ni World Class player anayeweza kucheza timu yoyote hole duniani! Kwahiyo akija Chelsea Kante ajiandae kusota Bench.

6) Kombe tunalotewa Wanaamini ni Kombe la Kipumbavu.

7) Wanaamini Liverpool ina kikosi bora duniani kwasasa kuliko timu yoyote hile.

8) Wanaamini Guardiola anabahatisha tu lakini Hamna kitu.

9) Wanaamini Lovren ni Best Centre Back in the world, Kwahiyo akienda Real basi Ramos ajiandae Kuwarm bench

10) Wanaamini unapomkosoa Klopp manake wewe huipendi timu na hujui chochote kwenye soka.

Sasa ukishakuwa na mitazamo hiyo kwao wanakuona wewe ndiye LIVERPOOL HALISI.
 
pathetic
 
Liverpool halisi tuzidi shikamana,tupo pazuri sana!
BHA ni mechi muhimu sana kwetu ugenini
Nina imani vijana watafanya vyema
UMOJA WETU NDIYO MTAJI WETU
 
Wewe unaamini vipi tofauti na hivyo?
 
aafu unakuta eti Moreno na Mignolet wanalalamika kutopangwa EPL seriously we can never win anything wt Moreno, Mignolet n.k....

Klopp should be careful now maana amebaki na vikombe viwili tu EPL na UCL hii dharau zake za kijeremani atajikuta wachezaji wote wa maana wanamkimbia maana they are here to win trophies n make history....

Pep was right mature players are more greedy and hungry win trophies.

• Kuna Siku niliandika kuwa Mignolet na Moreno hawastahiki kubakia Liverpool! Basi kuna jamaa walifoka sana hapa na kuniita sijui lolote..

Lakini Jana ninahakika walichokiona wao watajifanya tu kuwa hawakuona kilichotokea ila wengi tumekiona
 
Halisi ni kina nani?(watajwe),
Na mamluki nao wawekwe hadharani
Liverpool halisi tuzidi shikamana,tupo pazuri sana!
BHA ni mechi muhimu sana kwetu ugenini
Nina imani vijana watafanya vyema
UMOJA WETU NDIYO MTAJI WETU

kote hakufai
 
Mambo mawili niliyoyaona Jana!

Fabinho kwenye Centre back ni 100000 times better than Lovren

Ki-Jana ni mtaji mzuri wa baade ingawa kwasasa ni mdogo kumchezesha CB moja kwa moja tutakuja kumuumizisha.

No more Chance kwa Moreno

No more chance kwa Mignolet

Sturridge career is Over

Keita is inconsistent

No Liverpool B, only Team A

Xhaqir has more impact anapokuwa supersub, kuliko anapokuwa kwenye starting Line-up.

Milner ni backup player kwenye Midfield na si kwenye Defence.
 
Mkuu umekosea! Klopp halinganishwi na PEP ! Bali Klopp anaitwa ni bora zaidi ya PEP ... Na tunaposhinda game hapa wanaandika kuwa Klopp ni Kocha bora zaidi duniani...
Kwahiyo hao kina kina PEP, Zidane, LVG, Mourinho, Emery wote ni watoto wadogo tu ambao hawana mafanikio aliyoyawahi kuyapata Klopp.
Ni kweli kabisa Klopp ana mafanikio sana.

Misimu mitatu bila kombe lolote..!!!

Ni mafanikio makubwa sana.

Klopp halinganishwi na kocha yeyote England wala ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom