


haaaahaaaa. Timu imeoza kabisa hii, miaka 30 hamna Epl si aibu hizi[/QUOTE]Poor liverpuru
Poor Klop
Poor Lovren
Bikra imetoka leo![]()
King Ngwaba anakuambia TAA ndio right back bora pale EPL
Alizidisha mapenzi nae kaaaa
Ushafika msiban kutoa pole ,KWANI MKUU LIVERPOOL SI ANI BITENI MPAKA SASA IVI HAHAHAHAHA
kwani kuna khaabari gani????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mawazo yake siwezi kumpingaKing Ngwaba anakuambia TAA ndio right back bora pale EPL
Kama sijakunukuu vibaya, umejitoa kujadili midfielders wa LiverpoolNa naamini hilo mpaka sasa
Hata hivyo usiendeleze huu mjadala nimeshatangaza rasmi kujitoa kwenye malumbano ya kujadili wachezaji
there are loads of game before we finish EPL wt Wolves at home come May hivyo hii leo wake up call that a lot need to be done mpaka kuja kuutwa ubingwa....YNWA On to the next one..
Still on top of the table, lost to a good team in need results after three losses in four games.
On to the next one Reds.
could have been more, just hope this ws not our day n Klopp il put his house in order cz that ws scary from us....
Hakuwa na msaada yeye na milner fabinho na shaqir walikuwa hatar sana liverpool waliipata fom yao baada ya kuingia haoKlopp alifanya kosa kubwa kumtoa Sado Mane akapunguza Ubunifu na strike force iliyokuwepo, Mane Ndio alikuwa Mtu hatari kwa Man City kuliko Salah na Filmino.
Xakiri na Salah hawakuwa na kitu kipya, Bado Salah ana Tatizo la kutokuperfome game kubwa
Uzembe mkubwa kwa Sterling na Kun Aguero walioshindwa kuimaliza Hii game Mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
YakwakoSteel top of the leage kwa 4 pointsQUEOTE="TopUp, post: 29883795, member: 434357"]Hatimaye looserfool wametolewa bikrahaaaahaaaa. Timu imeoza kabisa hii, miaka 30 hamna Epl si aibu hizi