Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nadhani Domi kaongea ukweli kwa kiasi fulani
kwa namna timu inavyocheza leo ni mwendo wa kaunta, Milie atatuangushaHapandi juu yaani acheze kama anavyocheza Azpilicueta
Bikra itatatuliwa hata muchezeshe nani?Tukienda na hiyo 4 33 ambayo Hendo Gini Milner wanafit, basi kuna hatari ya kutolewa hii bikra yetu ya Unbeaten kwa aibu kuu.
Bwana wewe kwani kukubali kuwa mumemkosa huwezi mpaka mumtoe kasoro kijana wa watu daaaaah we jamaa punguza unafki basi wakati munamfatilia mbona hukuyasema haya .......View attachment 983786
Mkuu unamjua huyo dogo hapo kwenye picha?
Huyo ni Sancho ambaye ndiye anayemueka Bench Pulisic kwa sasa.
Kwahiyo kwenye Liverpool hawezi kupata Namba Kwenye Kikosi cha Kwanza! Kwahiyo haitowezekana kwa Klopp kumnunua Pulisic kwa £40m ili aje awe Mchezaji wa Hakiba.
Na hiyo ndiyo sababu kubwa Kwa BVB kumuuza huyo Pulisic Kwa Chelsea kutokana na Kukosa namba Kikosi cha kwanza.
Na kumbuka kwamba Liverpool walionesha interest last Windows lakini kwenye Window hii Klopp ameachana naye na kilichokuwa kikiendelea sasa ni Rumours tu wala Klopp hajabide chochote kwa Pulisic kuonesha kuwa hana mpango nae katika Future plan Yake.
Kwahiyo Mkuu ni kuwa Klopp hajamkosa Pulisic, Bali hakuwa katika Mipango Yake kwenye Window hii Coz Klopp kwa sasa Ana plan na attacking Midfielder na si Winger ambapo tuna Mene, Salah na Xhaqiri na Wilson on his way to Sensor team.
Ukweli usiofichika Klopp hana mpango wa Kubide kwa Mchezaji yoyote hii January unless kutokee long injury.
MumeanzaHuyo Referee ni mzaliwa wa Manchester aisee! anyway ngoja tusubiri
Bwana wewe kwani kukubali kuwa mumemkosa huwezi mpaka mumtoe kasoro kijana wa watu daaaaah we jamaa punguza unafki basi wakati munamfatilia mbona hukuyasema haya .......
Umenikumbusha SUNGURA WA SIZITAKI MBICHI HIZI
Sent using Jamii Forums mobile app

Naimani Saa na BOYS wetu watajitoa kwa kila kitu leo HAWATATUANGUSHA.Tukishinda game ya leo the tittle race is over ... the tittle is ours
Baba bariki siku ya leo![]()
Hii bikra itoke mara ngapi so aseno alishaitoa kwa kutufunga 5-1
Mzee wa ramli 😃😃😃😃😃Kila nikichungulia sioni Liverpool anatokea wapi mbele ya city Leo
Tukutane baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Classy
unafahamu vyema Majogoo sio timu ya kubabaishwa na City, hawa leo tunao...Kila nikichungulia sioni Liverpool anatokea wapi mbele ya city Leo
Tukutane baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi kwa sasa bado mpo mbio za ubingwa au mnapigana kubaki big four maana msipojirekebisha naona tena Futuhi inakuja darajani msimu wa pili mfululizoKila nikichungulia sioni Liverpool anatokea wapi mbele ya city Leo
Tukutane baadae
Sent using Jamii Forums mobile app