Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
hata Crystal Palace, Leista n.k wanaweza sanaa
hata Crystal Palace, Leista n.k wanaweza sanaa
it's was tactics vs technics, Champion vs challengerPep and Klop did the Mourinho
Klop use long balls trying to rescue situation while Pep pack the bus
I love this game
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww unachomolewa na spurs sijui mnacheza ka kombe gani kale una majeruhi kama wodi y wagonjwa.
We jamaa acha kuwachokoza looserfoolHahahahahah "YOU WILL NEVER WIN AGAIN" sorry mkuu "YOU WILL NEVER WALK ALONE" hahahaha..
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa Man U ndio ila walio nafasi ya 1, 2, 3 bado wamo
Hahahahaha usimhukumu mkuu katoka kuumwa.King Ngwaba anakuambia TAA ndio right back bora pale EPL
KWANI MKUU LIVERPOOL SI ANI BITENI MPAKA SASA IVI HAHAHAHAHA
Poleni sana mkuu hii ni kwa sababu kwenu mliruhusu atoe suluhu makocha wazoefu wapo hivyo ukimkosa mtu kwako ukimfuata lazima akubadilikie
Wewe sahau ubingwa, ushatolewa marinda, ukisare tu unapumuliwa, ukisare tena unaanza kugombea top 4
Unajua kwanin wanafurahi??Yaaani Naona Wachezaji Wote Wa City Wanafurah Kupitiliza Kuifunga Liver.
Benchi Lao Wote Wamenyanyuka.
Hahahahaha usimhukumu mkuu katoka kuumwa.
KabisaVijana wanapambana sana
Sisi Liverpool HALISI tuendelee kuwa behind ya team
Alizidisha mapenzi nae kaaaaKauli hii ya Ngwaba aisee ni kulikosea heshima Soka kwa kutamka kuwa Trent ni right back bora EPL
naona hampo mbali ndugu Sariboys au Sirloser....Hahahahahah "YOU WILL NEVER WIN AGAIN" sorry mkuu "YOU WILL NEVER WALK ALONE" hahahaha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa utasikia mara FA wametolewa, mara wamesare ,mara city huyu hapa anawapumulia, mara wanaingia kugombea top 4 badala ya ubingwaSasa hili ni gundu vipigo ndio vitafata kama kawaida