Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Mentor ku mkuadia mtu maana yake nini? Unajua madame B alipo sasa ivi?
Nyie wewe na Vien Petrol wote waongo hakuna alie ondoka na firstlady

- Alichokuwa anafanya Mtambuzi kukusaidia kumnasa Madame B.

- dah basi tu bana nsiongee sana ila in two weeks ukisikia FirstLady anaongelea UPT nadhan utapata jibu.

Subiri aje Mentor atakujibu, yeye ndiye yuko karibu na dada muuzaji......

Umenifananisha na Kipaji Halisi kaka.

lipo opp na Siaradibii ya Azikiwe au Mafuta House(Ben Mkapa Towers)....

Ewaaa utakuwa umenipata. Halafu uzuri pale ukinitumia SLP naipata haraka sana kuliko ukinidipu.
Tumia S.L.P 76553 dsm.
 
Last edited by a moderator:
Remmy:
- simba libolo oyeeeeee.........
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa ulifika salama!??

Halafu yule maza pale pembeni alikumind sana. Aliniita akasema alikuwa amekupenda mwanzoni alafu ukamcheka..ulimkata stimu. Akataka alianzishe na mimi...heheheh..btw eti ni mtoto wa professor yule. sijui nimrudie leo....
Yupi huyo maza gani??
 
usimalize basi nibakshie nami nije kufaudu! Mamboz?
Poa hila huyo bebe wako asije akaning'oa ya mbele ila juzi kakutelekeza mbona fuatilia thread kuna maali amesema amelala na FirstLady ila ongea taratibu asisikie sawa??
 
Last edited by a moderator:
Wewe si ndiye yule mama Mtu mzima uliyevamia meza ukaondolewa na dada muuzaji akakuweka ile meza ya pembeni karibu na sehemu ya kuingilia..
Mie nilikuona ukifuatilia mazungumzo yetu huku ukitabasamu na gauni lako jeusi la chirmen
ha haaaa, umeenda chaka mbaya kabisa shem.....
mimi ni yule mrembo alikuwa pale meza ya kushoto kwenu nikawa nakunywa fanta..... nilitamani nije niwasalimu lakini nikaona nisilete ugomvi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom