Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Last edited by a moderator:
mh! na ivi ulikua unaangaliana nae
Hakuna kuangaliana hapa mkuu....kazi ni kujenga taifa tu.
ah ah..! taifa si mmeisha lijenga ndio maana hata mkakumbushana kwenda church ama sivyo
Hapa ndio wanikumbusha....nitazitumia next time...
Kabisa...tena misa ya kwanza.
We mdau mbona kama ulikuwepo alafu sikufahamu!!!
mbona hukuja kufanya registration kwangu?
Cc: watu8 na charminglady:tape2:
Mi ndo nafika hapa mmeshaondoka?
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Ngoja nipige na picha kabisa...waaaah!!!!
Kwanini mna jisingiza na Vin Diesel kua mmeondoka na firstlady? Ivi kakakiiza hakuondoka nae kweli... Wewe ulikua unakunywa sprite tu
amu sauti yako tu mamii...daah ebu ni pm ur number niisikie tena ata machungu ya kukatiwa umeme yatapungua.Mi ndo nafika hapa mmeshaondoka?
Somebody help me...who is this dude....??! Mtambuzi.. Vindiesel Remmy babu Asprin.. Teamo nsaidieni huyu jamaa ni nani??!
Au ndo yule alivaa green kule further left kwa Madame B.
Au ni mshkaji wa tanuru la fikra??!
amu sauti yako tu mamii...daah ebu ni pm ur number niisikie tena ata machungu ya kukatiwa umeme yatapungua.
Mbona jana ukanidanganya?