Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Jamani bado mpo, nataka kuja now...oh maamah nimeimiss govinda kumar! Asprin umenibakshia kontesa? Manake we babu kwa kubeba takeaway...ckuwezi

Bdo nipo hapa. Kuna Jacky Daniels, Red label, Govinder kumar n.k
 
Last edited by a moderator:


attachment.php
 
Ha ha ha haaa
Sidhani kama kulikuwa na usalama, KakaKiiza aulizwe vizuri.

Nilikuwa na wasiwasi na vile vimini walivyovaa na jinsi walivyokuwa wakifakamia ile Strawberry Lips, nikajisemea moyoni.. Mai weee....!!! Atasalimika mtu hapa........
Siku nyingine sialiki wageni maana nahisi siku moja kitanuka kwa sababu kuna watu wana mihemko ya Contensa mpaka naogopa.......


CC: Kipaji Halisi, Vin Diesel, Mentor, KakaKiiza, Asprin, Teamo The Finest ........
 
Last edited by a moderator:
Baba, heshima yako.
Nna wasiwasi unakaribia kuoa mke wa pili. Hizi sherehe za kimswati mswati unafanya kila leo, tutaanza kumvalisha maza kamptula, ole wako uchonge!
 
kukataliwa kubaya! Wabaki unababaika! Wazomewa! Nawe wajidharaulisha bure! Hutakiwi hebu timua! Hebu rudi home haraka kuna ishu nataka unipe!

Yaani wewe wafurahia mie kutoswa na charminglady?
Nikupe kitu gani tena zaidi ya yale mambo wapenda.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom