Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,360
- 108,504
Kanisani nimekwenda na nimeomba kwa ajili ya ndoa yangu.....hebu fanya mambo mkwe
Hahahah....mkuu binti kagoma kabisa labda washuke malaika!
Kanisani nimekwenda na nimeomba kwa ajili ya ndoa yangu.....hebu fanya mambo mkwe
Hahahah....mkuu binti kagoma kabisa labda washuke malaika!
Hapo chacha...
Mhm ila kwa matumizi ya baadae niliambulia!Nilikuwa na wasiwasi na vile vimini walivyovaa na jinsi walivyokuwa wakifakamia ile Strawberry Lips, nikajisemea moyoni.. Mai weee....!!! Atasalimika mtu hapa........
Siku nyingine sialiki wageni maana nahisi siku moja kitanuka kwa sababu kuna watu wana mihemko ya Contensa mpaka naogopa.......
CC: Kipaji Halisi, Vin Diesel, Mentor, KakaKiiza, Asprin, Teamo The Finest ........
Wewe ndio wampotosha...hebu usiwe kikwazo kwenye mpango wa Mungu.
Sasa nyie mnaojifanya ma crew mnakunywa maji kilimanjaro huku mimi naendeleza libaneke na mzee wangu ODM a.k.a Asprin je mtataka kujilinganisha na sisi BTW niifata Harrier kwa hiyo mnisamehe!!kwa vimini ukuviona? Mtambuzi una mambo!! Madame B vipi ulitoka saa ngapi??alafu wewe Remmy ulifika salama je yule jamaa aliyevaa green vest ya kijani!!!ajakupiga makofi??maana mhm :tape2:ulikuwa unanipa viepe nikasikia anakoroma na wewe ukasitisha msaada!!Hahahahaha hadi KakaKiiza nae mtoto wa mama kaingia mitini
Mimi nina mke wangu na ninaishi naye kwa furaha...mabinti zangu wote wanaamua wenyewe,miye nabariki tu maamuzi yao.
CL kashasema anataka "utawa" sasa...
Nilikuwa na wasiwasi na vile vimini walivyovaa na jinsi walivyokuwa wakifakamia ile Strawberry Lips, nikajisemea moyoni.. Mai weee....!!! Atasalimika mtu hapa........
Siku nyingine sialiki wageni maana nahisi siku moja kitanuka kwa sababu kuna watu wana mihemko ya Contensa mpaka naogopa.......
CC: Kipaji Halisi, Vin Diesel, Mentor,
KakaKiiza, Asprin, Teamo The Finest ........
Safari hii nimebeba mimi!!
Sasa nyie mnaojifanya ma crew mnakunywa maji kilimanjaro huku mimi naendeleza libaneke na mzee wangu ODM a.k.a Asprin je mtataka kujilinganisha na sisi BTW niifata Harrier kwa hiyo mnisamehe!!kwa vimini ukuviona? Mtambuzi una mambo!! Madame B vipi ulitoka saa ngapi??alafu wewe Remmy ulifika salama je yule jamaa aliyevaa green vest ya kijani!!!ajakupiga makofi??maana mhm :tape2:ulikuwa unanipa viepe nikasikia anakoroma na wewe ukasitisha msaada!!
Asnam:
- ngoja niku-pm tufanye mpango wa lunch date
- dat should b fyn witchu babe![]()
Evelyn Salt:
nextym ongea na Kipaji Halisi akuazime mtandio wa amu alioibaga kwenye white party.
kaka Mtambuzi:
- Kwa kweli mimi nina wasiwasi mkubwa na bw. Kipaji Halisi...that guy z some silent killer.
- KakaKiiza alikosea akatongoza H na mwenzake sijui kama walimuelewa..chezea govinder wewe..
- FirstLady strawberry lips kidogo imuumbue alipokutana na mlevi mwenzie suruali ishashushwa chini tayari kwa ku do ze nidful
- Vin Diesel tamaa ya fisi ilimponza kwa kutaka FirstLady na wageni wako....akaishia kukosa wote. wait..yule baamedi sijui kama alipona!!
Jiwe Linaloishi:
- mangi, ulimisije ze occasion!???

Hahaha wote waliobaki hawakuwa na mipango yoyote wakaishia kuwa consoled na govinder!
- nilipigiwa simu na Remmy eti baada ya kufikishwa ubungo Mtambuzi hataki kushuka kwenye gari anataka na yeye kuelekea barabara ya Moshi...:A S 39:
- Mimi sisemi contents za simu aliyonipigia FirstLady.:shut-mouth: