Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Aaah bro...wanaume tunateteana bana!!!

Sasa hicho ni kiteteo gani!??

Kweli we zombie....ashakuambia ana ratiba nyingine...hiyo siku nyingine atakuwa na nyingine...stuka!

YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE (cc: Remmy)

Yani we mkuu una uhakika wa kutokuwa mentioned milele...ndo jina gani hilo!!!

Maazimio ni kwenye mkutano ujao kila mtu anje na LOCAL BREW ya kutoka kwao!!!

Cc Mtambuzi, Madame B, Remmy Zion Daughter , Paloma , watu8, Vin Diesel Mentor FirstLady1, manoah, Kipaji Halisi, Teamo, Asprin, FirstLady et al...

Na wewe mume wa ladyfurahia nimeku mind sana....
 
Last edited by a moderator:
Kha!
Asa aliekwambia kama yule mtoto alikuwa ticha nani?
Alikuwa anauza K ka rafiki yake yule mwenye miguu yote ya kushoto.
Mdingi huyo Kanali si ndio alikuwa anam-bandua mamake shoga angu.
Chezea Mbunye ya Mmwera wewe!
Mpaka Banda kajengewa.
Hapa tunamzungumzia Lily siyo?
 
Last edited by a moderator:
Asprin Perfume wapi>>>>>>>>Hapa ni petral jombaa!!acha kitu cha chimoni!!Sasa kama unataka kula na mimi ninakupa mtihani wakitu cha Perfume kwanza ukipita salama njoo usanue kila kitu!Hapa ni kwako halafu bwana tukionana macho makavu ntakupa issue!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifuuuupi kabisa kabla sijaifunga hii sredi, kuna kiumbe chochote cha kiume au cha kike kati yenu anaweza kuniambia hapa mnadiskasheni makitu gani hasa?

watu8, imekuwaje arifu ukanitelekeza na haya majukumu mazito?

Mpwa nasikitika kukwambia kuwa hata mimi sikufanikiwa kujumuika na ndugu hao waliotajwa hapo juu....
Uwepo wangu kwenye thread ilikuwa ni kutoa kampani kiroho maana kimwili sikuwa nao kabisaaaa...
 
nimekusamehe usirudie tena kuja home na kwenda kumfundisha laaziz wangu hivo vinywaji yeye hajui pombe hata kidogo, usijali best ila mchunge sana hapo alipo asijevuliwa kila kitu kwani ana mkuku shingoni nilimpa katika bethdei yake. naomba msalimie kwani nampigia hapokei simu sijui kwanini (ichunge simu yake ni aina ya hp digitale wasimuibie hapo
Ni samehe basi sweatheart ohoooo sorry dear!!:tape2:
 
By Asprin
Mjeda kanali mstaafu bana. Baba yake rafiki yako ticha kipotabo kama wewe.

Kha!
Asa aliekwambia kama yule mtoto alikuwa ticha nani?
Alikuwa anauza K ka rafiki yake yule mwenye miguu yote ya kushoto.
Mdingi huyo Kanali si ndio alikuwa anam-bandua mamake shoga angu.
Chezea Mbunye ya Mmwera wewe!
Mpaka Banda kajengewa.
Ha haa duh!
 
Asprin Perfume wapi>>>>>>>>Hapa ni petral jombaa!!acha kitu cha chimoni!!Sasa kama unataka kula na mimi ninakupa mtihani wakitu cha Perfume kwanza ukipita salama njoo usanue kila kitu!Hapa ni kwako halafu bwana tukionana macho makavu ntakupa issue!
Heheheheeh! We mutu ni hatareeeeeey!!

BTW kizuri kula na nduguyo bana!
 
Kwa kifuuuupi kabisa kabla sijaifunga hii sredi, kuna kiumbe chochote cha kiume au cha kike kati yenu anaweza kuniambia hapa mnadiskasheni makitu gani hasa?

Mkishanijibu mniambie:
Remmy, na wewe unanipenda kama navyokupenda?

amu, unweza niambia maana mbili za neno 'kopo'?
Mentor, eti leo jumangapi?
Vin Diesel, kikombe alichonipa baba sitakinywa?

Kipaji Halisi, CCM Safffey au hoooi?
watu8, imekuwaje arifu ukanitelekeza na haya majukumu mazito?
Madame B, unaifahamu gesti mpya bunju inaitwa Hijase?
FirstLady, Tuna nini mimi na wewe
KakaKiiza, kizuri kula na nduguyo. Kama perfume bei ghali tumia petroli, umenierrrrewwwa?

Paloma, hivi unajua kijambacho ni tumbo, kitoacho mlio ni spika?
Mtambuzi, wel wel well........ sina
swali kwako
Evelyn Salt, lile jukwaa lako na Madame B umelambwa ban?

Baada ya kusema hayo..... CCM Saffffeeeeeeeeeeeeeeeey???

Bia kupanda bei heshima saffffeeey!
Ushauri: Kunywa biya kwa wingi Remmy na Zion Daughter wapate mishahara.

Biyaaaa Safffffeeeeeey!!

Penda sana veve, wee ndio uliobadili baada ya Erickb52.
 
Last edited by a moderator:
..mzee wa bandari..Meli hiyoooo. Asprin
Labeka........ leo nakukabidhi Madame B userebuke naye

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom