Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Diskasheni yetu ilihusu zaidi waliokuwepo...!!!
picha tuone mabinti wa jf kama wana wezere la kutosha. Ningekuweppo ningetongoza mmoja na lazima ningeondoka nae kuchapa
 
Poa hila huyo bebe wako asije akaning'oa ya mbele ila juzi kakutelekeza mbona fuatilia thread kuna maali amesema amelala na FirstLady ila ongea taratibu asisikie sawa??
mhh kweli binadamu hakunyimi neno! Tumepeana break, 2kiresume mapenzi yanakuwa fire! Kalagabaho na umbea wako!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kinamiss hapa.. mie naona shangwe tu mbona hawatupi mrejesho nyuma wa agenda maalumu ya kukutana?? au tuvute subra mnaandaa?
cc Mtambuzi
..hahahahahahaha..ajenda mchezo..?
Zion Daughter (Binti Sayuni)
sioni kama kuna mrejesho nyuma wa agenda zaidi ya yaliyoandikwa huko juu yaani full shangwe.
..mmnywe contesa na govinder kumar....mtakumbuka ajenda tena hapo..hkn cha mshendo nyuma wala nini...hapa ni mshindo mbele tu..
 
Kama tulivyokubaliana wadau basi ndo tumefika eneo la tukio na wadau waliokwishafika ni Remmy Mtambuzi Asprin Madame B

View attachment 84360
updates:

Mkuu Vin Diesel naye yumo ndani ya nyumba.

Daah hadi wazee wa siasa kunyumba...

Update 2:
Mkuu Kipaji Halisi ndani ya nyumba...

Update 3: ismail n. Juma naye yumooo....


Da Madame B..ndo kinywaji gani hiki umeleta dada??!


updates:

4.Hadi sasa kuna members 20 na wageni 5 wote wa kike...


kuanzia kushoto...
manoah
Remmy
Teamo
Vin Diesel
FirstLady....be easy on the strawberry lips. alafu mumeo leo lazima aku...
The Finest
KakaKiiza
Justice faustine
Kipaji Halisi
Mentor...sterling wa IT sector
kushoto na kulia kwangu wageni waalikwa (guest members) (wamekuja na Vin Diesel) ila nimemsaidia kazi
babu Asprin...someone tek this old man away...btw hajaja na wake zake..get the picture.
Madame B
wengine muendelee kujitaja tafadhali govinder kumar inaisha hapa....
Nilifika kwenye kitaru hiki tangia saa 11 kamili mpaka saa 12 kasoro dk 10 sikumuona mwana dar wing hata mmoja sana sana nilibaki na viti vilivokuwa vimeinamia meza japo vilipangwa mkao wa kikao. Kwani mlianza kufika muda gani? na kikao kilianza saa ngapi?
 
Nilifika kwenye kitaru hiki tangia saa 11 kamili mpaka saa 12 kasoro dk 10 sikumuona mwana dar wing hata mmoja sana sana nilibaki na viti vilivokuwa vimeinamia meza japo vilipangwa mkao wa kikao. Kwani mlianza kufika muda gani? na kikao kilianza saa ngapi?

Ayaaa kumbe ni wewe.
Yule mhudumu alituambia ulikuja. Halafu ulipofika tu ukaanza kumtongoza mwenzao yule ukaondoka naye kabisa hata kikao hakijaanza.
Ndiyo maana tukaishia kuhudumiwa na wadada wawili tu!

CC: Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Ayaaa kumbe ni wewe.
Yule mhudumu alituambia ulikuja. Halafu ulipofika tu ukaanza kumtongoza mwenzao yule ukaondoka naye kabisa hata kikao hakijaanza.
Ndiyo maana tukaishia kuhudumiwa na wadada wawili tu!

CC: Mtambuzi
Eti dogo, Posta iko Kariakoo au Feri?

CC: Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Paloma, Remmy (I love you ila usimwambie mtu) Kipaji Halisi, Vin Diesel, Teamo, The Finest, Mtambuzi, Conntessa, CCM Safeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey!!!

Leo Tupo Hapa Pub LTD
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Jamani nitafutieni yule binti niliondoka nae siku ile....kuna kinguo alikiacha homeZidumu fikra sahihi za mwenyekiti.....
hahahahaha...kipeleke LEO TUPO HAPA...kikahifadhiwe.........tuwalete..tuwachane..tuwatupe...kumbuka gamba mwisho kiunoni tu..
 
kabla ya kukitundika...naomba maelezo ilikuaje alikiacha kwanza..je alikua na haraka..?..au dakika za mchezo zilikua Nyingi..?..au uwanja ulikua una matumizi mengine...?

...#kanuni ya 8 ya mwana TANU..."Nitasema Ukweli Daima..fitina kwangu Mwiko#

Mazingira yake kwa kweli siyakumbuki vyema....ila nadhani mtu alichelewa kazini
 
Eti dogo, Posta iko Kariakoo au Feri?

CC: Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Paloma, Remmy (I love you ila usimwambie mtu) Kipaji Halisi, Vin Diesel, Teamo, The Finest, Mtambuzi, Conntessa, CCM Safeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey!!!

Leo Tupo Hapa Pub LTD

Hahahahahaha....babuuuuuuu.....unazeeka vibaya wewe!

Haya niambie, NANI ALIKUETEA VIDEO???? au contessa had the same effect!??

#chama chetu cha....chajenga nchi!

Jamani nitafutieni yule binti niliondoka nae siku ile....kuna kinguo alikiacha home
Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti.....


Wewe na Kipaji Halisi mna nini na vitambaa vya mabinti??

Maana imekuwa kama trend....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom