Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Asnam:
- ngoja niku-pm tufanye mpango wa lunch date
- dat should b fyn witchu babe
A%20S%20shade.gif

Evelyn Salt:

- nextym ongea na Kipaji Halisi akuazime mtandio wa amu alioibaga kwenye white party.

kaka Mtambuzi:
- Kwa kweli mimi nina wasiwasi mkubwa na bw. Kipaji Halisi...that guy z some silent killer.

- KakaKiiza alikosea akatongoza H na mwenzake sijui kama walimuelewa..chezea govinder wewe..

- FirstLady strawberry lips kidogo imuumbue alipokutana na mlevi mwenzie suruali ishashushwa chini tayari kwa ku do ze nidful

- Vin Diesel tamaa ya fisi ilimponza kwa kutaka FirstLady na wageni wako....akaishia kukosa wote. wait..yule baamedi sijui kama alipona!!

Jiwe Linaloishi:
- mangi, ulimisije ze occasion!???

hebu npm haraka maana ninavyopenda kula duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hujamuona?Wote mahandsome kama wewe

Mh..kweli akutukanaye hakuchagulii tusi...

Haswa sote tupo hapa mkuu...tuombe uzima tu naamini tutapata wasaa wa kuonana...

Uzima upo ebu fanya mishe ata tuonane posta mkuu..

JuFa ndi nini? mbona unaanza kuongea kama mtoto anaota meno?

Najaribu kuguess bana mkuu nisaidie basi...

Ha ha ha haaaaa we kijana ni mnoma mbaya...
Unanisingizia bana

Sema kimoja tu nlichokusingizia kati ya:

- kumtaka kwa nguvu dada Remmy na kukataa kushuka kwenye gari

- matumizi yako makubwa ya contessa na kumar jana usiku

- kutuletea wageni wenye utata sana

- kufanya kazi ya kumkuwadia Madame B kwa Ishmael japokuwa babu Asprin ali...
 
Last edited by a moderator:
Asnam:
- ngoja niku-pm tufanye mpango wa lunch date
- dat should b fyn witchu babe
A%20S%20shade.gif

Evelyn Salt:

- nextym ongea na Kipaji Halisi akuazime mtandio wa amu alioibaga kwenye white party.

kaka Mtambuzi:
- Kwa kweli mimi nina wasiwasi mkubwa na bw. Kipaji Halisi...that guy z some silent killer.

- KakaKiiza alikosea akatongoza H na mwenzake sijui kama walimuelewa..chezea govinder wewe..

- FirstLady strawberry lips kidogo imuumbue alipokutana na mlevi mwenzie suruali ishashushwa chini tayari kwa ku do ze nidful

- Vin Diesel tamaa ya fisi ilimponza kwa kutaka FirstLady na wageni wako....akaishia kukosa wote. wait..yule baamedi sijui kama alipona!!

Jiwe Linaloishi:
- mangi, ulimisije ze occasion!???

dah we acha tu majukumu kaka ila nikirudi tutapanga ingine mwendo wa kuku tu bata kashazoeleka
 
Mentor ku mkuadia mtu maana yake nini? Unajua madame B alipo sasa ivi?
Nyie wewe na Vien Petrol wote waongo hakuna alie ondoka na firstlady
 
Last edited by a moderator:
Nyie watu ni wapenda sifa sana na wengi wenu mnaonekana mnapenda show sana na ngono na beer za ofa.Maana hata sababu za kukutana kwenu hazieleweki ila tunaona majigambo na kujisifia tu.Mnaboa sana na sitahudhuria upyuuz wenu!
Afu ukiangalia kwa makini ni walewale kila siku na inaonyesha nyie ni makulakulala kama sio bongo lala.Ningekuwa mmiliki wa JF ningewamwaga wote kwani hamna msaada
 
Naomba kujua bei ya wiski hapo, pia nijuzeni bar hiyo ipo maeneo gani?
 
Nyie watu ni wapenda sifa sana na wengi wenu mnaonekana mnapenda show sana na ngono na beer za ofa.Maana hata sababu za kukutana kwenu hazieleweki ila tunaona majigambo na kujisifia tu.Mnaboa sana na sitahudhuria upyuuz wenu!
Afu ukiangalia kwa makini ni walewale kila siku na inaonyesha nyie ni makulakulala kama sio bongo lala.Ningekuwa mmiliki wa JF ningewamwaga wote kwani hamna msaada
Hasira za mkosaji, bila shaka wewe utakuwa umeshikwa na mkeo na hufurukuti na ndio maana unatuonea wivu.... LOL
Kula kulala ina huu................, ulitaka ujue tulijadili nini ili uchangie au

CC: Madame B
 
Ningekua najua lugha ya ng'ombe ningekujibu...

Ungekua mjanja ungekuja kutafuta mchumba JF....???

Natafuta Mchumba

Nyie watu ni wapenda sifa sana na wengi wenu mnaonekana mnapenda show sana na ngono na beer za ofa.Maana hata sababu za kukutana kwenu hazieleweki ila tunaona majigambo na kujisifia tu.Mnaboa sana na sitahudhuria upyuuz wenu!
Afu ukiangalia kwa makini ni walewale kila siku na inaonyesha nyie ni makulakulala kama sio bongo lala.Ningekuwa mmiliki wa JF ningewamwaga wote kwani hamna msaada
 
Heheh sikua najua...ila Siaradibii zipo nyingi kule siti senta...ye huwa anajipanza wapi haswa?
Azikiwe, huku PPF upenuni mwa ATCL au???

Mkuu hivi jengo la posta mpya liko wapi.......?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom