Liverpool ndani ya LEO TUPO HAPA PUB.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,895
Leo Tupo Hapa Pub tumetembelewa na mgeni kutoka Arusha LiverpoolFC ni shangwe kwa kwenda mbele tukimuonyesha mji kijana wa Arusha.
Madame B amepewa kazi maalum ya kuhakikisha LiverpoolFC anawasahau mabinti wa Kiarusha, Kimeru, Kimasai na wanawake wa makabila mengine ya Arusha.
Madame B kisha andaa kisosa kabisa kwa ajili ya kumkirimu mgeni.
Ili kuhakikisha LiverpoolFC hapungukiwi, Madame B atakuwa akisaidiwa na amu
Muandaaji wa ziara ya LiverpoolFC ni Mtambuzi mzee mzima.
Mashabiki maandazi ni Kaizer, na Bujibuji.
Mshabiki maandazi mwandamizi Vin Diesel na jouneGwalu pia na Kipaji Halisi wako njiani wanakuja.
God bless JF, Long live MMU & CHIT CHAT majukwaa pendwa, dawa na tiba ya stress, maisha yanarefushwa huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom