Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Yaani wewe wafurahia mie kutoswa na charminglady?
Nikupe kitu gani tena zaidi ya yale mambo wapenda.
we haya tu! Mi nakuangalia ujue!
Last edited by a moderator:
Yaani wewe wafurahia mie kutoswa na charminglady?
Nikupe kitu gani tena zaidi ya yale mambo wapenda.
nitakutafuta usijali mpendwa....ndani ya wiki 2 hizi
Mkuu did you mean ZABURI 151 ??!
Nzuri sana hiyo kwa wale ambao hawakwenda church....
we haya tu! Mi nakuangalia ujue!
Safari hii nimebeba mimi!!
Huna dalili yoyote inayo onesha umekwenda kanisani.
Soma, Zaburi 91
jumapili njema!
usimalize basi nibakshie nami nije kufaudu! Mamboz?
BABU Asprin!:rockon:
najua ulitaka uhuru ili ukumbushie ujana...zile ndom nlizokupa ulizi2mia? Manake zangu nlizitumia!Ha ha...jana bora hukuja....
love you sweetness:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Nimeenda kanisani mie...muulize FirstLady....
najua ulitaka uhuru ili ukumbushie ujana...zile ndom nlizokupa ulizi2mia? Manake zangu nlizitumia!
Ulikua nae hadi asubuhi? mh! Una hatari wewe..
Kazi ya kiwango cha lami lazima ikeshe....