Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Eti dogo, Posta iko Kariakoo au Feri?

CC: Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Paloma, Remmy (I love you ila usimwambie mtu) Kipaji Halisi, Vin Diesel, Teamo, The Finest, Mtambuzi, Conntessa, CCM Safeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey!!!

Leo Tupo Hapa Pub LTD

Hahahahahaha....babuuuuuuu.....unazeeka vibaya wewe!

Haya niambie, NANI ALIKUETEA VIDEO???? au contessa had the same effect!??

#chama chetu cha....chajenga nchi!

Jamani nitafutieni yule binti niliondoka nae siku ile....kuna kinguo alikiacha home
Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti.....

Wewe na Kipaji Halisi mna nini na vitambaa vya mabinti??

Maana imekuwa kama trend....
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha....babuuuuuuu.....unazeeka vibaya wewe!

Haya niambie, NANI ALIKUETEA VIDEO???? au contessa had the same effect!??

#chama chetu cha....chajenga nchi!

Wewe na Kipaji Halisi mna nini na vitambaa vya mabinti??

Maana imekuwa kama trend....
...usikute wanadhani sisi ni Tailor Malt....

..#akimama hapo mbele mtanipaaaa..?..na akina baba huko.....mtanipaaaa?
 
Nahitaji kupata mrejesho kuhusu mpango endelevu kuhusu jf dar wing Madame B Mtambuzi KakaKiiza Asprin Mentor Remmy Mjeda et al

Mhe ninachokumbuka ni kwamba Nimeamka asubuhi nikajikuta niko Sinza.
Sijui nilifikaje.
Ila mrejesho utakuja soon.
Ila naomba umuulize Asprin na KakaKiiza mbona walipotea ghafla dk 5 baada ya wale akina 'Kim K' kuondoka,afu pale pembeni mbele kwenye kona niliona kibao kimeandika 'Vyumba vimejaa?'
 
Last edited by a moderator:
natamani kujua iwapo lengo la kusanyiko hili lilifikiwa as per Madame B's thread ya kutuita! Madame B na Mtambuzi japo hakuna kuandika kwa marefu lakin je mlifikia maazimio ya jf dar wing? Jibu liwe ama ndio ama hapana!

Paloma my dear, I miss u!!
Maazimio tuliandika,ila ile karatasi ilimwagikiwa na Contessa,hivyo ikachanika.
 
Last edited by a moderator:
Mhe ninachokumbuka ni kwamba Nimeamka asubuhi nikajikuta niko Sinza.
Sijui nilifikaje.
Ila mrejesho utakuja soon.
Ila naomba umuulize Asprin na KakaKiiza mbona walipotea ghafla dk 5 baada ya wale akina 'Kim K' kuondoka,afu pale pembeni mbele kwenye kona niliona kibao kimeandika 'Vyumba vimejaa?'
hahahahaa nimecheka sana jamani uuwi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom